Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Umeweka Vigezo vingi punguza japo kiduchu Dada bt anyway ndoa njema na mahusiano mema
 
Kwani mipaka ya umri wa kuoa kwa wanaume ni miaka mingapi?Yeye anataka mchumba haijalishi ni mzoefu au mgeni wa mapenzi,ila cha kumshauri atafute mume na siyo mchumba maana mchumba anaweza kuwa yoyote hata kama amekidhi vigezo vyake ila mume ni mmoja tu!Kwa hivyo take care kama keli unamaanisha kweli!Mungu akupe mume mwema.
 
Kwa nini hapa jf wanao tafuta wachumba wanaweka vigezo vya elimu sijui miaka! Hivi sisi tunapendana kwa vigezo hivyo? Nadhani mungekuwa more specific.

Bila ya hivyo ni kuchaguana kimaslahi tu.

Weka characteristics zako wazi
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please

Mwenye Nia achoki.....Usikate Tamaa...
 
Mimi Nina elimu ya kidato cha nne tu naweza kukuwa mchumba wako... Ila nalima sana na kufanya biashara ,au unaolewa na ELIMU na si mume ..
Elimu ni muhimu katika mahusiano na maelewano. Ni vizuri wewe mkulima utafute mkulima mwenzako. Msomi utamuona kuwa anakupeleka race kumbe tu ni tofauti za kimitizamo wa maisha zinazolietwa na kusoma vitabu vya Mzungu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…