Mimi ni kijana umri miaka 24, natafuta mchumba mtu mzima

WanaJF wote tuna miaka chini ya 24

Labda ukajaribu facebook kuna wakubwa wenzio
 
Hayo mambo ya mishangazi ni ngekewa ndgu yangu, mishangazi ina type inazohitaji, kama sio type yap utaishia kutoa matangazo tu humu.

Watoa shuhuda za mishangazi hamna hata mmoja aliempata mitandaoni kama wewe.
Zaidi zaidi utaambulia singo maza above 30
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom