Mimi ni dereva wa tax mtandao yaan Bolt au Uber

lusajr

New Member
Apr 18, 2024
2
1
Mimi ni dereva wa tax mtandao naishi kinondoni naitaji gari ya mkataba ninauzoefu wa udereva miaka saba

Kwa mawasiliano
0677938003
0658755355
 

Attachments

  • chet cha udereva.pdf
    582.8 KB · Views: 17
Hesabu unaleta how much per day? Una Mali gani ya kuweka dhamana? Je, nikitaka unikodishie hizo account itawezekana?
 
Back
Top Bottom