Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,336
- 3,259
Mpina leo hii ndiyo ujifanye mwanaharakati wa kuikosoa serikali? Hivi ninyi wanasiasa acheni unafiki acheni kuwachezesha Shere waTanzania au kisa mnawaona waTanzania mburula?
Mpina kipindi ni waziri tunajua madudu yako uliyoyafanya kwa wavuvi wale wa ziwa Victoria mpaka ikafikia hatua mkawachomea nyavu zao leo unajifanya we mwanaharakati? Waombe msamaha kwanza wale uliowachomea nyavu halafu uje na uharakati wako ndipo tutakuelewa hapa!
===
Alichosema Waziri Hussein Bashe "Sitaingia kwenye rekodi ya historia ya nchi hii kuwatia umasikini wakulima wa nchi hii kama baadhi ya watu waliongia kwenye rekodi ya kuwatia umasikini wavuvi wa nchi hii"