Mimi naamini Ukraine na Marekani wapo juu ya huu mpango wa ugaidi nchini Urusi!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,701
8,905
Kutokana na Uharaka wakujibu Zelensky anahusika moja kwa moja,pia mipango iliyoanzishwa na marekani mapema mwezi huu kuwa kunaweza kutokea shambulizi la kigaidi basi hizo zilikuwa ni propaganda zilizotengenezwa kuiaminisha jamii kuwa ikitokea wasema hata marekani alisha sema!

Sasa wakasahu kuwa Urusi ni fundi! Kitendo cha Zelensky kusema ahusiki ilikuwa tayari ameisha jisema! Uliwahi kuona mtoto anafanya kosa unaenda sehemu yatukio ujaongea lolote mtoto anasema mimi sijafanya!

Ujue huyo ndo mhusika sasa Zelensky alichokifanya! Pia ISIS siyo kutoka maeneo hayo inaonekana ni mipango ya Ukraine wote wanaongea kirusi ISIS hakuna hata mwarabu! Nakataa
 
Bado hawajasema wametumwa na nani?
Wamehumuka vile wasiseme mmoja alikuwa natetemeka! na watakuwa wamelala wanapigwa hadi mwisho na kwa mahakama ya urusi hao watapigwa risasi pale uwanjani!
 
Wamehumuka vile wasiseme mmoja alikuwa natetemeka! na watakuwa wamelala wanapigwa hadi mwisho na kwa mahakama ya urusi hao watapigwa risasi pale uwanjani!
Yule dogo aliyekuwa kwenye wheelchair bado yupo hai?
 
Hapo nawaona swaumu inawatesa mnaambiana vitu vya hovyo, haya sasa kama ni Ukraine wamepiga kwa kujifanya waislamu, iambieni Urusi ifanye kweli.
 
Hapo nawaona swaumu inawatesa mnaambiana vitu vya hovyo, haya sasa kama ni Ukraine wamepiga kwa kujifanya waislamu, iambieni Urusi ifanye kweli.
Unauliza vumbi store wanapiga kisawa sawa wameanza nakutia gizani ili wapewe kipigo kama kumbikumbi!
 
KGB toka bonyokwa akichambua na kuthibitisha harakaharaka kabla hata ya warusi wenyewe hawajakamilisha upepelezi wao
 
Marekani huyo huyo alotoa tahadhari kuwa urusi itashambuliwa kisha ikashambuli kweli, ndo huyo huyo marekani aloitahadharisha Ukraine kuwa urusi ataivamia. Ingawa urusi alikataa alafu akavamia.
Je hapo itatosha kuhitimisha kuwa Us na Arusi walipanga kuivamia Ukraine?
Hawezi kujibu
 
Watuhumiwa wamekamatwa wakati wakijaribu kutorokea Ukraine! So ni obvious kuwa vyombo vya inteligensia vya Ukraine vikisaidiwa na CIA huenda vimehusika katika hujuma hiyo.
Haiingii akilini, mpaka wote wa Ukraine na Russia na maeneo ya ndani mwa ukraine yapo chini ya Russia.
 
Tatizo bado wanahisi tu,hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaoonesha Ukraine kashiriki
 
Ukrain apigwe mpaka Marekani amlete mhusika. ISIS hata kama wamehusika basi wametumwa. Russia anamtafuta Boss hana haja na Vibaraka.
 
Back
Top Bottom