"Mimi huwa sipangiwi na ukinipangia sifanyi kabisa!" Je, bajeti anayopangiwa na Bunge ataiheshimu?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
15,227
25,985
Bunge sasa linapanga bajeti,Mkuu alishasema hapendi kupangiwa,na ukimpangia ndio hafanyi kabisa!

Je bunge lina ubavu kubadirisha hata sentensi kwenye bajeti?

Lina ubavu kuhoji matumizi yaliyofanywa nje ya bajeti?
 
Baba mvua hizi kwa kilimo ndo zenyewe,acha kusogoa baadae uje kulalama kuna njaa,FANYA KAZI.....Serikali haina chakula cha bure..!!
 
Ha ha ha.. Ameshasema yeye ndie mtoa hela zote.. So hiyo bajeti ni kama mazoea tu yaliozoeleka lakini mwisho wa siku yeye ndie anaeamua pesa zitumike vipi.. Hilo bunge lenyewe linalia njaa, pesa walizotengewa kazizuia.. Nimeona wameambiwa zitatoka June 30.. Hiyo yote ili baadae yule Naibu spika azirudishe tena serikalini kwamba zimekosa matumizi..
 
Bunge halipangi Bajeti. Linapitisha tu Makadirio ya Mapato na Matumizi yaliyopangwa na Serikali. Wakikataa kupitisha Bajeti ya Serikali Rais anaweza kuvunja Bunge! Wewe Vipi?
 
Bunge sasa linapanga bajeti,Mkuu alishasema hapendi kupangiwa,na ukimpangia ndio hafanyi kabisa!

Je bunge lina ubavu kubadirisha hata sentensi kwenye bajeti?

Lina ubavu kuhoji matumizi yaliyofanywa nje ya bajeti?
Mipango yote imepita kwenye baraza la mawaziri hivyo acha kuleta uchochezi tu
 
Kauli za watawala ka kimla.. hila zina mwisho wake..!

Huwezi kaa madarakan maisha
 
Bunge sasa linapanga bajeti,Mkuu alishasema hapendi kupangiwa,na ukimpangia ndio hafanyi kabisa!

Je bunge lina ubavu kubadirisha hata sentensi kwenye bajeti?

Lina ubavu kuhoji matumizi yaliyofanywa nje ya bajeti?
Well said!!!
Kwani ulishaona anafuata bajeti ya Bunge. Wapi bunge lilipitisha bajeti ya bombadia na chato intl airport!!? Sioni umuhimu wa kuwa na bunge heri lifutwe tu maana jamaa halitaki
 
Ogopa Rais anayeamini kwamba maamuzi yanayoigusa nchi anayoitawala ni uhuru wake binafsi!
 
Hugo ndo igweee wa Tanzania yetu ya Viwanda, kwa sisi wakulima tunaomba Mungu ashushe mvua mapema mwakani vingine tutakufa kweli maana igwe alishatamka hivyo na akisema kamaliza huwezi mbadilisha. Si unaona mgogoro wa walimu na madai yao kwa selikari alivyo uzima kwa hotuba yake toka Mtwara. Kwa ufupi Bunge la Bajeti ni ITIFAKI TU kwa JPM.
 
Baba mvua hizi kwa kilimo ndo zenyewe,acha kusogoa baadae uje kulalama kuna njaa,FANYA KAZI.....Serikali haina chakula cha bure..!!
amekwambia hafanyi kazi?
au amekuomba chakula?
Acha kumezeshwa maneno ya wanalumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…