Mimba ya Kajala yachoropoka

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
Baada ya kunasa ujauzito ambao ulisemekana ni wa kigogo mmoja serikalini, bahati haikuwa yake mwigizaji Kajala Masanja kwani mimba hiyo imechoropoka. Rafiki wa karibu na mwigizaji huyo ameliambia Risasi Jumamosi kuwa mwigizaji huyo aliugua malaria ambapo dawa alizokunywa zimemsababishia mimba hiyo ichoropoke.

“Nahisi ni madawa ya malaria aliyokunywa, huwezi amini alijisikia vibaya baada ya kumeza, ghafla akashangaa mimba imetoka,” alisema rafiki huyo wa karibu na Kajala.

Ubuyu huo ulipotua kwenye dawati la Risasi Jumamosi, mwanahabari wetu alimtafuta mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja (Paula) ambapo alipopatikana alikiri kuwa mimba hiyo imetoka kwa bahati mbaya.

“Imeniuma sana maana mwanangu alikuwa akitaka mdogo wake lakini ndiyo hivyo tena dawa zimenisababishia madhara nafikiri, mimba imetoka,” alisema Kajala.
 
Umenifurahisha.
Huyo mama ubaya huwa anawashika hao misukule yake.
Kama anayo sawa, kama hana hatuna cha kupoteza.Anadolishia mimba kama almasi vile.

Mama ubaya anawaweza sana hao misukule wake maana hiyo mimba imegeuzwa matangazo kutwa wanaipigia promo usishangae kusikia imetoka. Maana huu mchezo ashawahi ucheza siku za nyuma.
 
KUNA WALE WANAOFURAHIA(CHEZEA) USICHANA...HALAFU BAADAE HUTAFUTA VISINGIZIO KAMA HIVI.......
MAONI HAYA HAYAHUSIANI NA MZUNGUMZWA.
 
Mama ubaya anawaweza sana hao misukule wake maana hiyo mimba imegeuzwa matangazo kutwa wanaipigia promo usishangae kusikia imetoka. Maana huu mchezo ashawahi ucheza siku za nyuma.
Ninakumbuka vyema sana.
Nadhani safari hii anatamani kuingia labour kwa kuwa anafanya kama mashindano.
 
Ninakumbuka vyema sana.
Nadhani safari hii anatamani kuingia labour kwa kuwa anafanya kama mashindano.
Si
Si Abebe nyingine tu? Hakuna namna akijiona na dalili za ugumba amuone Idris!! kizuri kula na rafikiyo!!
 
Bado ya wema anajitangaza mtandaon kila kukicha me navyojua mimba haitangazwi hata siku moja asubir mafanikio kwanza dah had anakuwa kero
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…