Milioni 20 inatosha gari Afrika Kusini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
6,629
9,281
Heshima zenu wakuu!

Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko.

Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye mizunguko ya mjini?

Ninapendelea zaidi SEDAN, hasa AUDI na BMW!

Milioni 20 itatosha?

Asante.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Japan nina VITARA, nataka na ladha ya Kijerumani.
Sawa. Agiza ila litoke Japan lisitoke SA.

Mil 20 chukua
BMW F30 2013 kuja juu.
Audi A4 (B8) 2009 kuja juu.
Benz C Class (W204) 2008 kuja juu.

Izo ni compact sedan.

Ukitaka kubwa zake chukua Full Size au Midsize sedans:
BMW E60 2009 kuja juu.
Audi A6 (Typ 4G) ya 2011 kuja juu
Benz E Class (W212) ya 2010 kuja juu

Sema nipo kibati ningekupa na pic.

Ila kwa durability inaanza Benz anakuja BM kisha Audi.

Mcheki na VW
 
Heshima zenu wakuu!

Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko S.A.

Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye mizunguko ya majini?

Ninapendelea zaidi SEDAN, hasa AUDI na BMW!

Milioni 20 itatosha?

Asante.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ingia www.webuycars.co.za chagua gari angalia Bei in Rands convert into TSH pia angalia kikokotoo cha TRA+usafiri to Tanzania. Zaidi mchek @isangafamily ana-connection SA
 
Sawa. Agiza ila litoke Japan lisitoke SA.

Mil 20 chukua
BMW F30 2013 kuja juu.
Audi A4 (B8) 2009 kuja juu.
Benz C Class (W204) 2008 kuja juu.

Izo ni compact sedan.

Ukitaka kubwa zake chukua Full Size au Midsize sedans:
BMW E60 2009 kuja juu.
Audi A6 (Typ 4G) ya 2011 kuja juu
Benz E Class (W212) ya 2010 kuja juu

Sema nipo kibati ningekupa na pic.

Ila kwa durability inaanza Benz anakuja BM kisha Audi.

Mcheki na VW
Za SA zina shida gani?
 
Za SA zina shida gani?
BMW wana plant SA zinatengeneza gari. Na kuziuza SA na nchi za jirani. Sasa hizi plants uwa zinatofautiana quality sababu nyingi.

Hiyo moja, na pili, zikiwa zimetukiwa SA nao wana Anual Vehicle Inspection kama yetu (tunaiita Week la Nenda kwa Usalama) kwamba inatakiwa gari liende kwa wataalamu walikague waone kama ni salama kuendelea kutumika then linaruhusiwa.

Sasa nao ni kama sisi na stika zetu za elfu 7. Kwahiyo janja janja unakuta gari limepigika hafu unaletewa unaambiwa jipya.

Hizo ni nadharia tu ambazo nimezipata here n there siwezi weka ushuhuda 100% zaidi ya heresays.
 
Gari za SA nyingi zinazo ingia Tanzania ni nzuri sana..
 
Singapore wana shida gani? Naona gari zao nyingi zimenyooka na pia siti ni leather na zipo kwenye grade ya juu...

Hebu nipatie ujuzi.
Singapore kama Tanzania. Mtu akinunua gari anamuuzia mwingine.. Kisha anamuuzia mwingine ivo ivo unakuta ata owners wanne.

Wakiwa wamelichoka ndio linakuja Tanzania.

Kwanini?

Kwasababu Singapore ni nchi ndogo sana. Size yake ni ndogo kuliko Dar es Salaam.

Kwahiyo serikali kupunguza magari wameweka sheria "certificate of ownership ' ya gari. Yaani unaweza nunua gari new mil 50 hafu cost ya iyo certificate ukaambiwa mil 60. Na unakata kwa mwaka (kama sijakosea).

Sasa wengi wakinunua ni matajiri wanaikatia labda 5 years. Sasa tajiri akikaa na gari 1 year tosha. Linauzwa kwa mwingine mwingine mwingine hadi miaka 5 ikiisha ndio linakuja Tz

Tofauti na Japan wale jamaa kununua gari used mara chache. Kwahiyo unakuta gari owners ni mmoja au wawili tu tokea liwe jipya.
 
Okay asante sana.
Ila Japan mnunuzi anaweza kuwa mmoja ila hizo km zinazotembea ni hatari. Singapore magari yao mengi si kilomita malaki..... Nadhani pia kutokana na udogo wa nchi. Wanaenda wapi...
 
Ila hao mbuzi huwa wanabadilishaga vifaa wanaweka vibovu ili mnunuzi ajute kuvutiwa na leather
 
Back
Top Bottom