Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto.
Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri.
Usiolewe sababu kila mtu kanisani anakuuliza pilau tutakula lini.
Usiolewe sababu wazazi wanataka kumuona mkwe na wajukuu.
Usiolewe sababu wazazi na wewe mmechoka kuchanga sasa mnataka kuchangiwa.
Usiolewe ili uonekane umeolewa.
Usiolewe kwa sababu umepata ujauzito.
Usiolewe sababu unaogopa kuzeeka ukiwa mwenyewe.
Usiolewe sababu unaona umri unakwenda.
......
Ndoa sio jumuia, ndoa sio destination, ndoa sio zawadi kwa wazazi, ndoa sio social status, ndoa sio watoto, ndoa sio kuondoa nuksi..
Olewa kwa sababu ni wakati wa Mungu wewe kuolewa, umempata mtu sahihi mnayependana kwa dhati, umeridhia kutoka moyoni bila kuwa influenced na kitu chochote..
Ni bora uendelee kuishi mwenyewe kuliko kuingia kwenye ndoa ya majuto. Mngojee Bwana na hakika hatakuacha wala hajakusahau.....kwa hisani ya shemeji Jacque Mndeme kutoka Women Of Christ..Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto.
Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri.
Usiolewe sababu kila mtu kanisani anakuuliza pilau tutakula lini.
Usiolewe sababu wazazi wanataka kumuona mkwe na wajukuu.
Usiolewe sababu wazazi na wewe mmechoka kuchanga sasa mnataka kuchangiwa.
Usiolewe ili uonekane umeolewa.
Usiolewe kwa sababu umepata ujauzito.
Usiolewe sababu unaogopa kuzeeka ukiwa mwenyewe.
Usiolewe sababu unaona umri unakwenda.
......
Ndoa sio jumuia, ndoa sio destination, ndoa sio zawadi kwa wazazi, ndoa sio social status, ndoa sio watoto, ndoa sio kuondoa nuksi..
Olewa kwa sababu ni wakati wa Mungu wewe kuolewa, umempata mtu anweza kutokua sahihi na inawezekana hamjapendana to that extent bt ni mtu ambaye upo tayari kuheshimu mapungufu yake, umeridhia kutoka moyoni bila kuwa influenced na kitu chochote..
Ni bora uendelee kuishi mwenyewe kuliko kuingia kwenye ndoa ya majuto. Mngojee Bwana na hakika hatakuacha wala hajakusahau.....
"kwa hisani ya malimbukeni wote wa ndoa<>"MILELE MBALI<>-via kopi endi pesti MUJINI