Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,730
Jimbo la MIKUMI kata za Ruaha, Ruhembe, kidodi,Tindiga, Mabwerebwere, Masanze, Zombo mpaka sasa hivi saa 4 na robo karatasi za kupigia kura bado hazijafika na vituo havijafunguliwa, kata za Kilangali, Ulaya Na Mhenda uchaguzi umesimama eti karatasi zimekwisha haya si maajabu?
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024