Mikopo Consultant: Karibu Kwa Huduma ya Ushauri wa Mikopo

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Oct 28, 2024
357
798
Nina jumla ya uzoefu wa miaka 7 (saba) kwenye masuala ya kibenki na utoaji na upembuzi wa mikopo.

KWa uzoefu wangu huo, ninaelewa mbinu na namna bora ya kufanya ili usisumbuke kupata mikopo kwenye taasisi za fedha ikiwa wewe ni mtu binafsi au kampuni.

Huduma zetu

1) Tutakusaidia kupata mkopo kwa kushiriki kikamilifu kuandaa nyaraka za kuombea mkopo zinazohitajika na taasisi za fedha, ikiwa ni pamona na:
a) Business Plan (Mpango Biashara)

b) Loan application letter (Barua ya kuomba mkopo)

c) Financial Projections (Maoteo ya biashara kwa siku za mbeleni)

d) Audited and Management Accounts (Taarifa ya mahesabu ya kifedha ya kampuni)

e) Loan structuring (kuandaa mpango mzuri wa mkopo unaofaa kwenye biashara na kwa wakati husika) Kupendekeza mkopo sahihi kwa biashara yako

2. Utafiti wa masoko na mwenendo mzima wa biashara na kushauri mbinu bora za kufanya kupanua wigo wa biashara kukua zaidi.

3. Utafiti unaolenga kuanzisha biashara mpya sokoni (Market Entry Research)

4. Utafiti wa hatari zinazoikabilili biashara na njia bora kwa biashara kuweza kuzikabili hatari hizo (Risks identification and management strategies)

5. Uwekezaji kwenye masoko ya fedha ikiwemo hisa kwenye masoko ya ndani na nje ya nchi.

Usalama wa nyaraka na mawasiliano kati yetu na mteja ni kipaumbele chetu cha kwanza, kwa kuhakikisha maslahi ya mteja yanalindwa kwa wakati wote.

Kama ungehitaji huduma zetu, tunakukaribisha sana tuweze kufanya kazi. Kwasababu bei zetu no rafiki na tunajali zaidi matokeo ya kazi.

Tuwasiliane kwa njia zifuatazo

Email: mikopoconsultant@outlook.com
Instagram: mikopo_consultant

Tunaweza pia kuwasiliana kupitia jamii forum, kwenye DM au waweza ku comment na nitakufikia
 
Back
Top Bottom