Mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya, Kagera bado maambukizi ya VVU yapo juu. Tatizo ni nini?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,815
8,724
Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi.

Tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
 
Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi , tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?

Ukimwi ngumu kuisha au kupungua maana vijana hawaelewi mambo wao wanawaza utelezi na mshiko tu hayo ya kinga ajali kazini.
 
Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi , tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
Mbeya inaongoza!!!!😳
 
Hebu weka maambukizi kwa asilimia kitaifa.
 
Nimewahi kuishi mikoa hiyo na kufanya utafiti,nilibaini jambo kubwa moja linalo sambaza virusi kwa kasi ni; ULEVI; watu wanakunywa pombe kupita kiasi, wakubwa kwa watoto wanalewa chakariii!! wanamalizana bila wao kujua, ukimwi unasambaa kwa kasi ya moto!!
Ukawa msaada gani kwao?Au uliwaangalia tu na kuondoka kurudi Nzega?
 
Hizo takwimu hata hazinaga ukweli... Miaka nenda miaka rudi ni hizohizo wakati kuna mikoa imechangamka kwa uzinzi kuliko sodoma na gomora.

Katika mikoa yote uliyoitaja, kuna mkoa unaizidi dar na mtwara kwa uzinzi? Ina maana wazinzi wote huko hutumia kinga?

Serikali ya bongo imeshaona hili ni gepu la kupigia hela za "dona kantri" ndo maana kila mwaka wanajitahidi kupika data
 
point
 
Mi nafikiri zitengenezwe Condom za kike maana mwanaume anaweza lazimisha kufanya bila ya ndom. Na binti hana maamuzi
 
Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi.

Tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
Tatizo ni ALIYE NACHO HUONGEZEWA. Wewe ulitaka maambukizi yaishe oabisa mkuu? Huwezi kupingana na nature.
 
Hizo takwimu hata hazinaga ukweli... Miaka nenda miaka rudi ni hizohizo wakati kuna mikoa imechangamka kwa uzinzi kuliko sodoma na gomora.

Katika mikoa yote uliyoitaja, kuna mkoa unaizidi dar na mtwara kwa uzinzi? Ina maana wazinzi wote huko hutumia kinga?

Serikali ya bongo imeshaona hili ni gepu la kupigia hela za "dona kantri" ndo maana kila mwaka wanajitahidi kupika data
Dar watu wana uelewa mpana kuliko Mikoa yote Tanzania,vilevile Mikoa ya Wauslama mingi rate ya maambukizi huwa ni kidogo.
 
Njombe,Iringa na Mbeya Ukimwi hauwezi isha sababu 98% ya wanawake wa hiyo Mikoa ni sura za Baba a.k.a Wabaya.
Hivyo wanawake wa kutoka Manyara,Singida na Arusha ndio wanapeleka Ukimwi kwenye hayo maeneo-kisha wanaume hupeleka kwa wake zao.

Mfano Njombe na Mbeya,Mtu ana miliki kabisa bar maid anamfanya kama Mkewe hataki kabisa mtu amsogelee ilihali Dada ni Muuzaji.
 
Tuipongeze sirikali ya sisiem kwa juhudi hizo za kuongeza maambukizi, mi5 tena
 
Hizo takwimu hata hazinaga ukweli... Miaka nenda miaka rudi ni hizohizo wakati kuna mikoa imechangamka kwa uzinzi kuliko sodoma na gomora.

Katika mikoa yote uliyoitaja, kuna mkoa unaizidi dar na mtwara kwa uzinzi? Ina maana wazinzi wote huko hutumia kinga?

Serikali ya bongo imeshaona hili ni gepu la kupigia hela za "dona kantri" ndo maana kila mwaka wanajitahidi kupika data
Mtwara kuna uzinzi kwa kipimo kipi?
 
Back
Top Bottom