ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 63,787
- 73,625
Tanzania Kwa ujumla Makazi yake mengi ni holela na hayajafuata mipango Miji yaani squatters ambapo asilimia 67% ya majengo/Makazi yote Nchini ni Uswahilini yaani Slums.
Pamoja na hali hiyo mbaya ya kimakazi ila Kuna Mikoa imetoa fora Kwa Makazi Yao mengi kujengwa kwenye maeneo ambayo hayajapimwa na hivyo.
Mikoa 10 inayoongoza Kwa kuwa na uswahili mwingi yaani slums or Squatters ni kama ifuatavyo ;
1.Kagera 85.9%
2.Simiyu 82.4%
3.Geita 77.5%
4.Singida 77%
5.Songwe 75.7%
6.Tabora 74.3%
7.Kilimanjaro 74%
8.Tanga 72.8%
9.Katavi 72.7%
10.Manyara 72.2%
NB
Matokeo haya ni Kwa mujibu wa sensa ya watu na Makazi ya mwaka 2022 by NBS.
My Take
Kwa mara nyingine Mbeya haipo kwenye Mikoa ya hovyo huku Mikoa ya watu wenye majigambo ikiwa ni miongoni mwa watu wanaishi bila ustaarabu mfano Kagera na Kilimanjaro.
Mikoa ambayo walau Ina kiwango Nafuu Cha Mipango Miji ni
-Dar
-Kigoma
-Mbeya
-Iringa
-Morogoro
-Mwanza
-Arusha
Pia soma Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza