Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,781
3,286
Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote!

Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha!

Nyaya zimeshagusana, moto upo, shida haziwezi kuwaka, hii ndiyo Tanzania bhana!

Hivi wale waliosifika sana kipindi kile kwamba, ni watu wasiojulikana! Mtumaji na mmiliki wao ni nani?

Tutaelewana tu! Maji ya mtungi yakichemka, maana yake mtungi huo hafai tena unapaswa utupe kabisa! Yetu siyo macho tena!

Ni kweli ndivyo tulivyokuwa tukiaminishwa??!! Ama ilikuwa... Ngoja tumuone atajiteteaje mbele ya Ulimwengu? Haikuwa siri yao hawa? Mbona imekuwa ni kana kwamba alichelewesha mambo yao?

Mikataba 40 tuliyosikia ilisainiwa huko Dubai, matunda yake ndio Kwanzaa tunaanza kuyaona!

Bado 39!

Taifa la waomba Mungu!
 
Hivi wale waliosifika sana kipindi kile kwamba, ni watu wasiojulikana! Waliotokana na nani?

Ni kweli ndivyo tulivyokuwa tukiaminishwa??!! Ama ilikuwa... Ngoja tumuone atajiteteaje mbele ya Ulimwengu? Haikuwa siri yao hawa?

nafikiri, waiweke yoote peupe tuione, wasiwe wanaileta kwa ghafla ili tukose muda wa kuijadili. hii nchi ni yetu.
 
ccm mtalaaniwa maisha yenu yote kudadek zenu. Hamuwezi kuendelea tu kuuza nchi yetu kwa wageni, huku tukiwaangalia tu.

Yaani kwa sababu sisi ni makondoo, basi mnajifanyia tu vile mpendavyo. Siku tukigeuka na kuwa mbwa mwitu wakali, haki ya nani mtakimbia nchi.
 
Kwa ninavyoijua Nchi hii na hili nalo litapita kama mengine, watanzania tutaishia kulalamika pembeni ila hatuna uwezio wa kuiwajibisha Serekali hata iweje, nalo litapita na kudhulumiwa tutadhulumiwa mapaka nguvu yetu ya mwisho.
 
Nyaya zimeshagusana, moto upo, shida haziwezi kuwaka, hii ndiyo Tanzania bhana!

Hivi wale waliosifika sana kipindi kile kwamba, ni watu wasiojulikana! Waliotokana na nani?

Ni kweli ndivyo tulivyokuwa tukiaminishwa??!! Ama ilikuwa... Ngoja tumuone atajiteteaje mbele ya Ulimwengu? Haikuwa siri yao hawa?

Mikataba 40 tuliyosikia ilisainiwa huko Dubai, matunda yake ndio Kwanzaa tunaanza kuyaona!

Bado 39!

Taifa la waomba Mungu!
Sa100 must go!!!
 
Viongozi wa Tanzania ni sawa na Wazazi wenye Mtoto mwenye Utapiamlo.

Badala wafanye majukumu yao ipasavyo ili kumsaidia Mtoto wao apate Lishe nzuri.

Wao wanakazana kubadilisha house girls, wakiamini hao ndio watamaliza tatizo la mtoto wao.

Pathetic.
 
Kwa ninavyoijua Nchi hii na hili nalo litapita kama mengine, watanzania tutaishia kulalamika pembeni ila hatuna uwezio wa kuiwajibisha Serekali hata iweje, nalo litapita na kudhulumiwa tutadhulumiwa mapaka nguvu yetu ya mwisho.
Tutatumia nguvu ya kalamu wakati wa Uchaguzi. Tutatumia mitandao ya kijamii kushawishana
 
Tutatumia nguvu ya kalamu wakati wa Uchaguzi. Tutatumia mitandao ya kijamii kishawishana
Ukumbuke wana nguvu ya dola na wanaweza kufanya wakitakacho huku wakiwa wana kinga ya kuto kushtakiwa wala kuhojiwa zaidi ya kulindana tu, hapo bado tusijidanganye ndugu, maamuzi magumu kwa watanzania hatuyawezi hata iweje.
 
Hivi huko ccm hakuna hata mwenye akili na utu hata wa kubahatisha🙆🙆🙆🙆
Mheshimiwa Mwinyi aliwahi kusema kile kiti nikitamu sana na hasa ukiwa hauna hofu ya Mungu unaweza kufanya maajabu ya kiutawala mpaka watu waka staajabu.
 
Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote!

Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha!

Nyaya zimeshagusana, moto upo, shida haziwezi kuwaka, hii ndiyo Tanzania bhana!

Hivi wale waliosifika sana kipindi kile kwamba, ni watu wasiojulikana! Mtumaji na mmiliki wao ni nani?

Tutaelewana tu! Maji ya mtungi yakichemka, maana yake mtungi huo hafai tena unapaswa utupe kabisa! Yetu siyo macho tena!

Ni kweli ndivyo tulivyokuwa tukiaminishwa??!! Ama ilikuwa... Ngoja tumuone atajiteteaje mbele ya Ulimwengu? Haikuwa siri yao hawa? Mbona imekuwa ni kana kwamba alichelewesha mambo yao?

Mikataba 40 tuliyosikia ilisainiwa huko Dubai, matunda yake ndio Kwanzaa tunaanza kuyaona!

Bado 39!

Taifa la waomba Mungu!
Tubakie kwenye tetesi

Niliwaambia CCM siyo sshihi kwa nchi yetu kwa sasa
 
Back
Top Bottom