Robert James Masunga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 414
- 395
shetani aliichukua hahahahahahhahaMimi hiyo ya Malesian Airline 370 ndio huwa sielewi kabisa..sijui nini hasa kilitokea
asante mkuu kwa ufafanuzi huu na karbu sana na acount yako mpyaaaaMkuu, Pan Am flight 103 ilikua ni ndege kubwa aina ya Boeng ikimilikiwa na shirika la ndege la kimarekani.
Ililipuka 21, december 1988 huko Lockerbie Scottland kufuatia bomu lililowekwa katika begi moja la abiria.
Waliokufa katika ajali hiyo walikua ni abiria 243, 16 crew members na wengine 11 ardhini, jumla 270! Ilianguka muda wa saa moja usiku jioni.
Wahusika wa tukio inasemekana kua na magaidi kutoka Libya ambapo ingawa Muammar Gadaf alikataa kutoa amri ya kulipua ila alilipa fidia kwa ndugu waliopoteza maisha katika tukio hilo.
Uzuri wa Aviation Industry ni kwamba wanaamini kila accident inayotokea haitokei tu out of the blue, wanaamini hua ni mtiririko wa matukio au mambo kadhaa hivyo mara zote likitokea la kutokea wanaboresha au kupunguza baadhi ya mambo au vitu ili kuepusha tukio kama hilo wakati mwengine.
So kulingana na mada yetu hii Pan am flight 103 sio issue sana coz haikudondoka kwa sababu za ufundi au mistake za rubani.
Mayday.... Mayday.. Mayday
Ha ha ha haaa., Asante Mkuu, nina account yangu Kongwe since ile Issue ya Daudi Balali, ila Nimeipumzisha kidogo.asante mkuu kwa ufafanuzi huu na karbu sana na acount yako mpyaaaa
hyo ya arusha story ipoje mkuu? ndo nimetokea call me j janawadau.
nimekuwa nikijiuliza sana ni nini na ilikuwaje hata mikasa ya madege makubwa makubwa ya abiria inatokea nakosa jibu.
nataka kujua nini kilitokea kwenye mikasa ifuatayo:
Pan Am Flight 103 katika anga la Lockerbie
Boeing 767 Arusha Airport na jinsi lilivonasuliwa kutoka tope na kuruka tukakosa chuma chakavu tulichokuwa tunakitolea macho.
Malaysia Airline Flight 370 iliyopotea mpaka kesho.
Concorde Air France Flight 4590 iliyoshika moto wakati wa kuruka.
Malaysia Airline Flight 17 iliyodunguliwa katika anga la Ukraine.
wanaojuwa juu ya mikasa ya haya madege naomba tushirikishane kwa lugha yetu mwanana ya Kiswahili.
Ha ha haaaa.. Hii walipotea njia nadhani, badala ya kutua KIA wakatua kisongo(hapo sina uhakika sana)hyo ya arusha story ipoje mkuu? ndo nimetokea call me j jana
asante kwa ufafanuzi mkuuHa ha haaaa.. Hii walipotea njia nadhani, badala ya kutua KIA wakatua kisongo(hapo sina uhakika sana)
Ila ni kwamba ndege ilitua kwenye uwanja mdogo kuliko size yake, shughuli ikaja jinsi ya kuirusha, ilibidi run way ianzie offroad lakini iliruka, alierusha alikua Mwanajeshi... Ipo Youtube pia.
hyo ya arusha story ipoje mkuu? ndo nimetokea call me j jana
Ha ha haaaa.. Hii walipotea njia nadhani, badala ya kutua KIA wakatua kisongo(hapo sina uhakika sana)
Ila ni kwamba ndege ilitua kwenye uwanja mdogo kuliko size yake, shughuli ikaja jinsi ya kuirusha, ilibidi run way ianzie offroad lakini iliruka, alierusha alikua Mwanajeshi... Ipo Youtube pia.
naamini hukuenda kujipitisha-pitisha watu wakuone kwa ajili ya 2020.
Arusha Airport lilitua kwa dharura dege kubwa la Boeing 767 la Shirika la Ethiopian Airline lenye uwezo wa kubeba abiria 230 kama sijakosea. hata hivyo uwanja ule si wa kutua madege makubwa sampuli ile inavosemekana. kwa hiyo rubani alimudu kulitua hivyohivyo na matokeo yake (kutokana na udogo wa uwanja pengine) dege lile likaenda kunasa kwenye tope.
kitu ambacho sijuwi na ninataka kujuwa:
kwa nini lilitua kwa dharura?
maarifa gani yalifanyika hata baadae likaja kumudu kuruka licha ya kuwa uwanja ule si saizi yake?
hapo ndipo napoona wana JI mnahusika kutoa majibu
Ngoja nizame chimbo labda tutapata sababu dharula gani ilijitokeza.naamini hukuenda kujipitisha-pitisha watu wakuone kwa ajili ya 2020.
Arusha Airport lilitua kwa dharura dege kubwa la Boeing 767 la Shirika la Ethiopian Airline lenye uwezo wa kubeba abiria 230 kama sijakosea. hata hivyo uwanja ule si wa kutua madege makubwa sampuli ile inavosemekana. kwa hiyo rubani alimudu kulitua hivyohivyo na matokeo yake (kutokana na udogo wa uwanja pengine) dege lile likaenda kunasa kwenye tope.
kitu ambacho sijuwi na ninataka kujuwa:
kwa nini lilitua kwa dharura?
maarifa gani yalifanyika hata baadae likaja kumudu kuruka licha ya kuwa uwanja ule si saizi yake?
hapo ndipo napoona wana JI mnahusika kutoa majibu
Yeah, jamaa alikua fundi sana, hawa wajeda ukikutana nao njiani ni wapole sana, ila ni wajasiri sana.Nadhani hawakusema ni kwanini walitua kqa dharura na kwenye kuirusha rubani alitumia utundu wa hali ya juu wa kuipiga resi ikiwa imesimama mpaka ikakolea ile kuiachikia hakukimbia mita 500 then ikapaa.