Migogoro wa Congo unavyotumia pesa za walipakodi SADC& EAC

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,966
8,743
Mapigano Goma, Congo vikao kwenye majiji mengine barani mara Harare na sasa Dar es Salaam ambako viongozi toka SADC na EAC (joint summit) watakutana physically Dar kujadili mgogoro ule ule waliojadili Harare wiki iliyopita.

1. Presidential jets (16+)
2.'Business class tickets (Ministers & other senior government officials),
3. Presidential motorcades (16+),
4. Presidential suites (5 star hotels in Dar),

*Hakika, Kufa kufaana.

***Gharama za usafiri, malazi, chakula na protocol za Wakuu na mawaziri (Foreign affairs na defence) nchi zote za SADC (16) na EAC nani anazibeba?
 
Mapigano Goma, Congo vikao kwenye majiji mengine barani mara Harare na sasa Dar es Salaam ambako viongozi toka SADC na EAC (joint summit) watakutana physically Dar kujadili mgogoro ule ule waliojadili Harare wiki iliyopita. Hakika, Kufa kufaana.

**Gharama za usafiri, malazi, chakula na protocol za Wakuu na mawaziri (Foreign affairs na defence) nchi zote za SADC (16) na EAC nani anazibeba?
Hujui mambo ya Geopolitics wewe. Unafikiri maisha ni kula ugali na kulala tu? Ni pamoja na kuhakikisha majirani zako unaoshirikiana nao kiuchumi wanakuwa salama.
 
Hujui mambo ya Geopolitics wewe. Unafikiri maisha ni kula ugali na kulala tu? Ni pamoja na kuhakikisha majirani zako unaoshirikiana nao kiuchumi wanakuwa salama.
Geopolitics hamuwezi kujadili kwa mtandao yakajadilika? Au mpaka mlipane posho?
 
Mkuu umesahau uwo mgogoro unatukosesha mapato ya nchi?
Umesimamisha shughuli za Usafilishaji wa Madini na vitu vingine,kuna Madereva kwa sasa Hawana kazi sababu ya hiyo vita.
Sisi Tanzania pia ni waathirika wa hii vita hasa kiuchumi
 
Mapigano Goma, Congo vikao kwenye majiji mengine barani mara Harare na sasa Dar es Salaam ambako viongozi toka SADC na EAC (joint summit) watakutana physically Dar kujadili mgogoro ule ule waliojadili Harare wiki iliyopita. Hakika, Kufa kufaana.

**Gharama za usafiri, malazi, chakula na protocol za Wakuu na mawaziri (Foreign affairs na defence) nchi zote za SADC (16) na EAC nani anazibeba?
Pesa zipo kwa ajili ya kuzunguka na kutumika. Kuna ndugu wapo sa hivi wanalipwa per diems nyumba zinaboreshwa!
 
Mkuu umesahau uwo mgogoro unatukosesha mapato ya nchi?
Umesimamisha shughuli za Usafilishaji wa Madini na vitu vingine,kuna Madereva kwa sasa Hawana kazi sababu ya hiyo vita.
Sisi Tanzania pia ni waathirika wa hii vita hasa kiuchumi
Wawe wanakuja na maazimio thabiti wanapokutana sasa siyo kulaani tu halafu mnapanga kukuta kwingine.
 
Ulivyokuwa unakula pesa za wallpa kodi wa Marekani kupitia USAID ulikuwa unakenua, na bado vyoo kwa msaada wa watu wa Japan acha hizo ndugu
 
Back
Top Bottom