Mifumo yote ya dunia hii wameiga kutoka kanisa katoliki. Padre hawezi 'kum outsmart' Askofu wake lazima atafukuzwa tu

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
2,241
3,464
Ili chama chochote au serikali youote hata familia idumu lazima ifate hii principal ya kanisa katoliki kwamba mdogo akifikia hatua ya kushine sana kuliko mkubwa lazima institution husika ife tu.

Ndiyo mana hata hivi makanisa vidogo kama vya akina Mwamposa vina life span ndogo sana mika saba au 20 ikijitahidi sana.

CHADEMA inaelekea kufa kwa sababu kila mtu mle ni kambale kama alivyosema babu Duni. Lissu anataka aonekane mbabe, mnyika the same nk nk.

CCM wameiga principal ya kanisa katoliki ndo mana itashine miaka yote.

Askofu kilain alitaka kum outsmart kadinali Pengo kilichomkuta mnakijua. Alihamishwa fasta.
 
Back
Top Bottom