Katika shambulio la wiki iliyopita dhidi ya Iran, Israel iliharibu mifumo yote ya juu zaidi ya ulinzi wa anga na kuuacha utawala huo "uchi" kwa mujibu wa maafisa.
Maafisa wa Marekani na Israel wamesema katika duru mbili za mashambulizi mwaka huu, Israel imeharibu betri zote nne za mifumo ya ulinzi ya anga ya S-300 iliyotolewa na Urusi nchini Iran: moja iliharibiwa mwezi Aprili na tatu ziliharibiwa wiki iliyopita.
Mbali na kuharibu mifumo ya S-300, Israel pia iligonga mifumo mingine ya ulinzi wa anga na mifumo ya rada nchini Iran, ambayo inaathiri uwezo wa Iran kufuatilia au kutetea wimbi jingine la mashambulizi ya Israel, ambayo kimsingi yalitumika kama kizuizi, kulingana na Fox News.
Soma pia: