Miezi mitatu nimetotolesha vifaranga 500 vya kuku wa kienyeji

karue

Senior Member
Oct 31, 2018
199
431
Kheri kwenu wapendwa nimeamini kila kitu ni nia na kujituma.

Mwezi wa saba nilinunua tetea 30 na jogoo 3 wanaotetea mwezi wa nane nikapata vifaranga 280 na mwezi huu wa tisa 220.

Na bado naendelea kuatamishiae. Lengo kufika mwezi wa kumi na mbili niwe na kuku 1000 wa kienyeji pure.

NJIA NAZOTUMIA KUFANIKISHA MALENGO HAYA
1: Mimi mwenyewe ndiyo msimamizi mkuu naamka saa11 alfajili kuosha makopo na kulisha chakula.

2: Nimetenga kuku 15 wanaoatamia na wengine15 wanataga tu.

3: Vifaranga navilea kwa joto la mkaa.

4: Kwenye mabanda ya vifaranga kwa siku nafanya ukaguzi Mara 4.

5: Eneo la kufugia ni kubwa na nimezungushia fesi.

6: Dawa za kuku zipo za kutosha za maji na unga.

Karibuni
 
Kheri kwenu wapendwa nimeamini kila kitu ni nia na kujituma.
Mwezi wa Saba nilinunua tetea 30 na jogoo 3 wanaotetea mwezi wa nane nikapata vifaranga 280 na mwezi huu wa tisa 220
Na bado naendelea kuatamishia
Lengo kufika mwezi wa kumi na mbili niwe na kuku 1000 wa kienyeji pure
NJIA NAZOTUMIA KUFANIKISHA MALENGO HAYA
1: mimi mwenyewe ndiyo msimamizi mkuu naamka saa11 alfajili kuosha makopo na kulisha chakula
2: nimetenga kuku 15 wanaoatamia na wengine15 wanataga tu
3:vifaranga navilea kwa joto la mkaa
4:kwenye mabanda ya vifaranga kwa siku nafanya ukaguzi Mara 4
5: eneo la kufugia ni kubwa na nimezungushia fesi
6:dawa za kuku zipo za kutosha za maji na unga..
Karibuni
Hongera asee, Tusaidie jinsi ya kuandaa chakula chao...( Folmula)
 
Hicho kipengele cha sita( hakifai kwa mfugaji)......jitahidi saana usiwe na matumizi makubwa ya madawa kwenye mifugo yako.
 
Hongera sana vip idadi ya mayai unayowaekea hutotoleshwa yote au kuna ambayo yanamis...? Na je kama wanatotolesha yote huwa unatumia mbinu gani yasiharibike hata moja? karue[
[/QUOTE]

Hongera sana wengine tukiweka mayai hayatotolewi yote shida nin
AU hatupaswi kuyashika
Namna ya kuifadhi tu ndugu na yasikae sana bila kuatamishwa
 
Back
Top Bottom