D Dynamics Senior Member Feb 2, 2024 154 187 Nov 20, 2024 #1 Habari wakuu. Microwave inauzwa. Bei 120,000/- Inapatikana Dar Es Salaam Karibuni
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 40,174 97,076 Nov 20, 2024 #3 Kimfaacho mtu chake mkuu... Kila la kheri
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Jul 12, 2018 919 1,711 Nov 21, 2024 #4 Ilete hapa nikupe laki moja chap kama haina dosari
D Dynamics Senior Member Feb 2, 2024 154 187 Nov 21, 2024 Thread starter #5 DIRIMULAINA said: Ilete hapa nikupe laki moja chap kama haina dosari Click to expand... Uletewe wapi mkuu, microwave haina dosari ila dau lako bado ni dogo. Ongeza ongeza tufanye biashara
DIRIMULAINA said: Ilete hapa nikupe laki moja chap kama haina dosari Click to expand... Uletewe wapi mkuu, microwave haina dosari ila dau lako bado ni dogo. Ongeza ongeza tufanye biashara
D Dynamics Senior Member Feb 2, 2024 154 187 Nov 21, 2024 Thread starter #7 Ninaweza said: Una receipt? Click to expand... Unaihitaji risiti ya aina gani mkuu?