Wakuu Naombeni Msaada kwa anejua nawezaje kuapata Microsoft Flight Simulator Games. Au kama kuna mdau anazo/anayo. Nimeziona za Ku downloads na Hard copy(cd) Bei ni Balaa. Tafadhali wadau.
Habari wana JF. Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D Animation, Rendering, etc. Iko very powerful. Specifications hizi hapa chini. Gaming Desktop Computer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.