Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,055
Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza.
Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2 ambazo mmoja Yuko klabu Bingwa na mwingine shirikisho!
Timu zilizotolewa hazikutolewa kwa bahati mbaya bali zimetolewa kutokana na sababu nyingi, mojawapo ni ubora wa vikosi vyao, quality ya wachezaji wao, uzoefu wao kwenye michuano husika, management na team work kwenye vikosi vyao + management zao!
Naweza kusema kwenye timu zote 4 zilizofuzu kushiriki michuano ya kimataifa msimu huu ni timu moja tu ambayo Iko tayari kuipeperusha bendera ya nchi kimataifa na kufanya vizuri ambayo ni yanga pekee!
Ukiangalia timu zilizobaki zote 3 utakubaliana na mimi kwamba ni timu ambazo hazijawa tayari kushiriki michuano hiyo kwa ubora unaotakiwa ukilinganisha na timu nyingine zilizoko kwenye michuano hiyo!
Ukiangalia Simba, Coast Union, Azam zote Zina mapungufu kibao, Simba imebomoa kikosi ikaenda kusajili wachezaji wazuri na sio wachezaji Bora!
Nikisema hivyo nafikiri wanaoujua mpira watanielewa nazungumzia nini, wachezaji wazuri ni wachezaji unaoweza kuwapata kutoka timu yoyote hata ya daraja la 4 au la 3!
Ndio maana Simba wameenda kuwasajili hao kutoka kwenye timu za kawaida huko walikotoka!
Wachezaji Bora ni wachezaji unaowasajili kutoka kwenye timu ambazo zina uzoefu kucheza mara kwa mara kwenye michuano mikubwa klabu bingwa au shirikisho, na kuwapata hao ni mpaka uwe vizuri kiuchumi kushindana na wakubwa wenzako sokoni ambao na wao wanakuwa wanawawania kwa udi na uvumba, Bei yao sokoni inakuwa sio ya kitoto.
Kwa maana unapokuwa nao kwenye kikosi una uhakika wa kufikia mbali kwa sababu wataongeza ubora wa timu, ubora wa kikosi, uzoefu na kimbinu awawezi kukusumbua kuingia kwenye falsafa ya kocha haraka!
Wachezaji Bora wa namna iyo wako yanga pekee kati ya timu zote 4 zinazoshiriki michuano ya kimataifa msimu huu.
Azam wamesajili lakini uwezi kujua walisajili kwa kuzingatia mapungufu ama kwa kuzingatia mashindano ya kimataifa? Timu inayojipambanua kutaka kuweka status yake kimataifa aiwezi kuuza mchezaji mzuri na kununua mchezaji wa kawaida, wanemuuza kipre junior ambae alikuwa na mchango mkubwa kwenye timu na angewasaidia sana wakafanya replacement ambayo aieleweki.
Tatizo la Azam linaanzia mbali nikijadili hapa tutakesha, Coast union ndo Bure kabisa, ni timu zilizokuwa zinajaza tu nafasi lakini ukiwaangalia kuanzia namna wanavyocheza mechi za kimataifa awakuwa na mbinu zozote zile za kiufundi za kucheza mechi za kimataifa, walikuwa wanacheza Kama vile wanacheza kwenye ligi kuu, walistahili watoke ni halali yao.
Sasa timu inayofata kufungashiwa virago ni Simba, Kuna wale mashabiki wao Lia Lia awatakagi kuambiwa ukweli, ukiwaambia ukweli wanakuja na matusi lundo, Sasa Mimi nawapasua live wakina imewakera sana ni Ruksa kwenda kwa mangi kununua viwembe wameze.
Simba kiufundi na kimbinu bado Awana timu ya kucheza michuano ya kimataifa, angalia uzoefu wa wachezaji wao uko kwenye timu walizotoka, angalia muunganiko wao, angalia wanavyocheza nafasi wanazoacha wazi kuanzia kwa viungo kwenda kwa washambuliaji, angalia mabeki wao wawili wa kati Che Malon na Chalabou makosa wanayofanya, uwezi kuyaona ayo kwa kucheza na timu dhaifu Kama Tabora united au fountain gate, utaonyeshwa na timu zilizokamilika na apo ndio vilio vitaanza!
Simba wamewaiga yanga kwamba walivunja timu na kuondoa wachezaji karibu 15, na kuleta wapya lakini wamesahau jambo moja ambalo Engineer alifanya, alisajili quality ya wachezaji wenye uzoefu mkubwa sana kimataifa na kitaifa, akusajili tu ilimradi ni wachezaji au akusajili umri wa wachezaji, aliwashusha kina yanick Bangala, Juma Shaban, Joyce Lomalisa, Fistoni Mayele, Khalid Aucho,na wengine kabla ajaenda kuwavuta kina Pacome, Diarra, Nzengeli, Azizi ki!
Engineer aliweza kuijenga yanga kwa haraka kutokana na quality ya vifaa alivyoshusha na ilimlipa haraka sana kwa sababu ata kocha akupata wakati ngumu kuwaunganisha maana ilikuwa ni kufanyia kazi vitu vichache tu basi!
Lakini Sasa Simba wao na uongozi wao wa propaganda wakiongozwa na tajiri wao mbahili wakaenda kutafuta cheap labour kwenye vilabu vya kawaida uko wakaokota okota kulingana na fungu lao wakaleta!
Kwa wachezaji waliosajiliwa Simba sidhani Kama Kuna ata mmoja alishacheza hatua ya makundi klabu bingwa! Akuna, je Kuna ata mmoja alishacheza hatua ya makundi shirikisho? Akuna labda Kama yupo niambiwe.
Sasa wachezaji Kama awa awawezi kupata muunganiko wa haraka na kupata ubora wa haraka wa kucheza michuano ya kimataifa kwa ubora unaotakiwa. Mechi zile Zina formula yake na password yake ambayo unaotakiwa kwanza uwe na wachezaji Bora na sio wachezaji wazuri.
Simba wamesajili lundo la wachezaji wazuri na sio wachezaji Bora wa kuweza kupambania Mataji!
Angalia kikosi Cha yanga Kisha angalia kikosi cha Simba linganisha kwenye nafasi moja moja Kisha utuambie ulichoona!
Kwa maana iyo Simba ndio timu itayofata kuondolewa kwenye michuano ya kimataifa aijalishi ata Kama watawatoa walibya but kazi kubwa wanatakiwa kufanya ili kuwaondosha walibya pamoja na kwamba ni timu ya kawaida lakini itawapa test kuwajulisha kwamba awako vizuri!
Timu itayobaki pale ni Young African kwakuwa wamekamilika Kila idara, quality ya wachezaji wao, management yao aina propaganda wao ni vitendo tu, muunganiko wao Kama team, uzoefu wao wa kucheza na timu kubwa nyingi kwenye hili bara la Africa, popote pale ukiwapeleka wanakiwasha, confidence yao Iko juu sana, fitness yao ya viwango vya juu sana class A, ivyo wao labda wajitakie kufanya vibaya but Kila kitu kiko upande wao.
N:B Narudia Tena kusema kuwa Kuna lundo la wachezaji wazuri na Kuna lundo la wachezaji Bora mwenye D 2 ndio atanielewa.