Michele Obama vs Donald Trump Uchaguzi Mkuu wa Marekani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
58,795
69,459
Swali.
Ya Rula Da Silva wa Brazil na Mkewe yanaweza tokea Marekani this time?
---

1720030548339.png
MAREKANI - Michelle Obama, mke wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ndiye mgombea pekee kwa tiketi ya demokrati ambaye anaweza kumshinda mgombea wa Republican Donald Trump katika uchaguzi wa Novemba, Reuters imetangaza ikinukuu kurampya za maoni za Ipsos.

Wasiwasi unaoongezeka miongoni mwa wapiga kura wa Kidemokrasia juu ya uwezo wa Rais Joe Biden kupata muhula wa pili madarakani mwaka huu, haswa baada ya mjadala wake na Trump, ambapo kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 81 alionekana kuelemewa hata wakati wa mazungumzo yake.

Mnamo Julai 1 na Julai 2, kampuni ya utafiti wa soko ya Ipsos ilichunguza sampuli wakilishi ya watu wazima 1,070 wa Marekani kwa niaba ya Reuters, wakiwemo wapigakura 892 waliojiandikisha, 348 Democrats, 322 Republicans na 303 wa kujitegemea.

Kulingana na kura za maoni, ikiwa kura ingefanyika sasa, Biden na Trump wote wangeshinda wastani wa asilimia 40 ya kura.

Hata hivyo wapiga kura watatu kati ya watano, ikiwa ni pamoja na karibu theluthi moja ya Wanademokrasia, wanaamini Biden anapaswa kujiondoa kwenye kinyang'anyiro kabisa na kwamba chama chake kinapaswa kuweka mgombea mpya, hata katika hatua hii ya mwisho.

Wengi wa wanaoweza kuchukua nafasi za Biden hawaonekani kuwa na idhini ya umma unaohitajika kumshinda Trump siku ya Novemba 5, kulingana na kura ya maoni.

Katika ulinganisho wa kidhahania dhidi ya Trump, Makamu wa Rais Kamala Harris alikuwa na pointi moja nyuma ya mgombea wa Republican, wakati wengine, kama Gavana wa California Gavin Newsom na Gavana wa Michigan Gretchen Whitmer, walifanya vibaya zaidi.

Mtu pekee ambaye angeweza kumshinda Trump ni Michelle Obama, aliyepata takriban asilimia 50 ya kura za maoni ya wapiga kura, ikilinganishwa na asilimia 39 ambao walisema watampigia kura Trump.

Je haitakuwa njia nyepesi zaidi Kwa Trump?
 
Hicho kionyesha mapaja mnataka ndio kiwe Rais wa America 😄

Yeye na Trump na hicho kyehu Biden wote hawafai kuwa ma Raisi.

Kwa ujumal America wana vote nini ni ujinga tu, kuwasimamisha watu masaa kupiga kura.

Rais anakuwa kisha pangwa na AIPAC, sijui kelele za media sijui Electoral votes au Electoral College hizo ni mchanga kwenye macho tu.

Ukitaka kuwa Rais wa America lazima ukagonoke kule AIPAC 😄
 
Wabongo Kwa ujuaji mko juu haswa. Unajifanya kujua kuliko Wamarekani wenyewe
 
Huyo michelle alichokifanya mme wake kwa gadafi sio kabisa, na waafrika acheni kuwa bize na siasa zao/uchaguzi wa marekani.
Baada ya World Cup tukio linalofuata na kuvutia hisia za watu duniani ni uchaguzi wa Marekani. Hakuna mwenye kupoteza muda kufuatilia chaguzi kwenye tu-nchi kama Russia, China wala Iran kama kweli zinafanya uchaguzi.

Sasa wewe unaposema watu waache kufuatilia uchaguzi wenye heshima kama wa taifa kubwa kama Marekani sijui sasa unataka tufuatilie uchaguzi gani wakati hata nchi yako tu bado imeshindwa kufanya uchaguzi hadi leo.
 
Anataka tufatilie mambo ya simba na yanga. Jamaa mshamba sana.
 
Baada ya World Cup tukio linalofuata na kuvutia hisia za watu duniani ni uchaguzi wa Marekani. Hakuna mwenye kupoteza muda kufuatilia chaguzi kwenye tu-nchi kama Russia, China wala Iran kama kweli zinafanya uchaguzi.

Sasa wewe unaposema watu waache kufuatilia uchaguzi wenye heshima kama wa taifa kubwa kama Marekani sijui sasa unataka tufuatilie uchaguzi gani wakati hata nchi yako tu bado imeshindwa kufanya uchaguzi hadi leo.

Huo uchaguzi unaovutia hisia zako, then unafaidika na nini?
 
Back
Top Bottom