Michango ya shule

myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
157,916
687,223
Waziri wa elimu tunaomba ufafanuzi wa michango ya majengo ya shule, kuna shule binafsi imajengwa miaka 16 iliyopita ila kila mwaka mwanafunzi mpya anadaiwa michango ya jengo! Na zipo shule nyingi zinaendelea kudai ada ya jengo.

Je miaka 16 na kila mwaka kuna wanafunzi zaidi ya 300 shule hiyo si inatakiwa iwe ya 'public' maana hela ya mwenya shule isharudi! Mbona haujatolewa mwongozo kuhusu michango ipi sahihi na ipi sio?

Tunaomba msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…