Miaka 55 ya Uhuru!

wananchi wenyewe hawajielewi, hawajui wanatakiwa wapate nini kutoka serikali yao, hawajui wanatakiwa wajifanyie nini, so naona kama wamependa kuwa hivyo
they had it coming
they deserve it

wilaya niliyotokea tulikua tunajenga madarasa na vyoo kwa nguvu zetu wenyewe, wanafunzi tulikua tunasomba mchanga, wazazi wanachanga fedha vyoo vinajengwa na madarasa yanakarabatiwa
 
ccm mbele kwa mbeleee...
sherehe tu za maazimisho ya ccm singida zingejenga shule nyingi..
sijui hayo matumizi wanabana ili wafanyakazi tu wasile ?
maana kuna idara zimepewa tu hela ya kulipia umeme mwezi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…