Mfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake
CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka kama ruzuku lakini bado ni mafukara.
Je, kuna haja ya kuendelea kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa?
Ikumbukwe ruzuku ni kodi za Wananchi