Miaka 30 ya Mfumo wa vyama vingi vya Siasa; Je, viendelee kupewa ruzuku au Vilazimishwe kujitegemea?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
95,470
167,286
Mfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake

CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka kama ruzuku lakini bado ni mafukara.

Je, kuna haja ya kuendelea kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa?

Ikumbukwe ruzuku ni kodi za Wananchi
 
Tuambie hao matajiri ccm wanapokea ruzuku shs ngapi manka, tulinganishe na hawa mafukara
 
Mfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake

CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka kama ruzuku lakini bado ni mafukara.

Je, kuna haja ya kuendelea kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa?

Ikumbukwe ruzuku ni kodi za Wananchi

Ccm hawa wanaotaka pesa za umma ili wakarabati viwanja walivyopora toka kwa wananchi?
 
Hi
Mfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake

CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka kama ruzuku lakini bado ni mafukara.

Je, kuna haja ya kuendelea kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa?

Ikumbukwe ruzuku ni kodi za Wananchi
Hivi ni vyama vya siasa vya watanzania. Watanzania ndio wanaovigharimia kupitia kodi zao. Viendelee kupewa ruzuku!!
 
Back
Top Bottom