Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,220
- 13,452
Heri ya sikukuu ya ufufuko wa Yesu Kristo.
Leo ni miaka 10 kamili tangu nimejiunga hapa JF 09 Aprili 2013.
Wengine mlikuwa bado wachanga,wengine shule,wengine mlikuwa huko vijijini kwenu ambako hakuna internet lakini Mungu ni mwema leo wote tupo JF na tunasoma nyuzi za kila aina.
Ndani ya miaka 10 nimejifunza mengi sana hapa JF hasa nyuzi zenye ukweli na wale wazee wa kuleta "chai"
Any way najivunia kuwa miongoni mwao wana JF hai kwa miaka 10 sasa.
Pongezi kwa uongozi wa JF na nawashauri wapunguze ban na kufuta nyuzi za watu ili jukwaa liwe huru zaidi.
Once again happy Easter kwa wote na Ramadhani Kareem!