Mheshimiwa Rais, tumbua vyeti feki serikalini

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,633
2,297
Mheshimiwa Dkt. JPM, tunaomba uwatumbue wenye vyeti feki serikalini. Mbona kama hii topic huku serikalini kila inapozungumzwa huwa inazimwa zimwa na viongozi serikalini hawataki kuizungumzia.? Zoezi hili liende sambamba na Hao watumishi hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…