Mkuu Wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Makonda amejigeuza yeye ndie kila kitu Dar es Salaam, sasa Kwa umimi anao uleta Wa KICCM? Utampotezea muda, maana CCM Dar es Salaam haipo, yeye anajitahidi kuleta umimi aonekane anafanya kazi kuibeba CCM Dar lakini Kwa Ukuu Wa mkoa haukufanyi kuirejesha CCM Dar. Kaa na viongozi wenzio mpange, mjue mnawahudumia vipi wananchi, wewe kama mkuu wa mkoa huna nguvu yoyote kiutendaji, huo ndio ukweli wenyewe, CCM Dar itakuharibia kazi, achana nayo