Mheshimiwa Rais Magufuli Mpe Ukuu wilaya Kibwana Dachi

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
368
425
Huyu ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari wa African Media Group inayomiliki vituo vya Chanel 10, Magic Fm, CTN na DTV. Namsikilizaga sana kwenye kipindi cha Morning Magic cha Magic Fm, huyu mzee ni mjuzi wa mambo na mwerevu kweli kweli. Anaonekana pia kuufahamu vizuri muundo wa Serikali na kazi zake. Mheshimiwa Rais ebu mpe Wilaya huyu Bwana ilo autumie weredi wake na ujuzi wake kwa maendeleo ya Taifa.
 
Hakika jamaa anajua mambo. Kuna jamaa alinifurahisha sana kwani alimbatiza jina Google. Sijui kama JPM anamfuatilia. Naamini akiwa anamfuatilia bila shaka ombi lako litatimia.
 

sasa huko kwenye wilaya ataenda kutangaza hiyo morning magic?
 
sasa huko kwenye wilaya ataenda kutangaza hiyo morning magic?
Simaanishi kwenda kutangaza.! Soma post yangu., nimejaribu kuelezea kidogo kwamba ni mjuzi na mwerevu wa mambo mengi tunaweza kumtumia kwa maendeleo ya Taifa hasa katika awamu hii ya tano. Watu wengi wanaomfuatilia na kumsikiliza watakiri nisemayo
 
Sasa kwani hapo alipo hapamtoshi? Kuna dhambi gani akitumia ujuzi wake hapo alipo? Ina maana japo alipo japahitaji mtu mwenye ugajamu wa mambo?
Kuna wilaya ngapi nchini halafu jiulize tuna raia wangapi wanaojua mambo....
Kingine cha kujiuliza ni je unafahamu huyo jamaa ni wa chama gani cha siasa?
 
mwambie atukane au apige wazee.


swissme
 
Kuwa mjuzi na kumbukumbu ya mambo mengi si sifa ya kuteuliwa kuwa DC. Kwanza huyo Kibwana Dachi ni mtu slow sana katika kufanya maamuzi hivyo kukosa moja ya sifa ya uongozi anaohitaji JPM ambao ni kukurupuka.
 
Kuwa mjuzi wa mambo kuna uhusiano gani Na ukuu wa wilaya??
 
Hana sifa za kiinteligensia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…