Mhere Mwita: Mpuuzeni Mganga wa Kienyeji Yericko wa CHADEMA, miaka 20 ya Mwajiri wake inatosha, Sasa ni Tundu Lissu tu

Bezecky

JF-Expert Member
Apr 28, 2024
421
681
Na Mhere Mwita

Nimeona chapio la rafiki yangu Yericko Nyerere ambalo amelipa kichwa Cha Habari ya Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini chadema haifi hivyo basi hoja zake zimenifanya nizichambue kwa kupitia kwa madhaifu ya Hoja zake na Mimi kueleza kwanini Tundu Lissu anafaa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa kama ifuatavyo.

Kwanza kabisa ninakubaliana na Yericko Nyerere katika aya yake ya kwanza aliposema kuwa ninanukuu "Ninakubaliana kwamba Tundu Lissu ni kiongozi mzuri Mwenyekiti misimamo mikali, ni kiongozi mweledi sana, Lissu ni Mwanaharakati wa asili katika maisha yake yangu hajawa mwanasiasa"

Lissu amekuwa Mwanasiasa na Mwanaharakati kwa pamoja Hivyo basi tunamhitaji Kwa sababu Lissu kwa sababu ni Mwanasiasa mwenye unaharakati ndani yake, viongozi aina ya Lissu wakipewa jukumu la kuongoza mapambano ya kushika Dola Serikali huwa inashindwa kuwazuia kwa sababu Hawa watu huwa hawaongeki na hawarubuniki kirahisi kwa sababu huwa hawapiganii maslahi yao Bali wanachotaka yatokee mabadiliko tu.

Mfano mzuri wa viongozi Hawa ni waziri mkuu wa kwanza wa India mpigania Uhuru wa Taifa Hilo vile vile alikuwa mwanasheria wa India Bw mahatma Gandhi na Rais wa kwanza wa Afrika kusini Baba wa Taifa Hilo na Mwanasheria Nelson Mandela sote tunajua Samia anaogopa sana Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sababu atawaunganisha wanaharakati wote ambao ni

Viongozi wa dini, Mashirika ya kupigania haki za binadamu za ndani na nje, Chama Cha wanasheria Tanganika (TLS) na watanzani waishio nje ya nchi (Diaspora) kupigania Katiba mpya na Tume huru mfano Kongo viongozi wa dini kuandamana mpaka Joseph kabila kuachia madaraka.

Yericko Nyerere anaamini Tundu Lissu kuhama kutoka kwenye Nafasi ya Umakamu Mwenyekiti kwenda kwenye Uenyekiti ni dhana ya Tundu Lissu kuvunja mtumbwi Ili tukose wote ila hajatoa uthibitisho wowote kwani hajaeleza hao viongozi wenzake ni wakina nani na walikuwa wanajadili nini mpaka kusema hivyo huu Mimi ninaomba ubaki uzushi na Propaganda wa huyu ndugu yangu.

Yericko Nyerere ameshindwa kuonyesha watu waishio nje ya nchi (Diaspora) walitakaje kupindua hayo mapinduzi yalilatibiwa na nani Mimi nijuavyo Sauti ya watanzania ambayo ni Asasi ya kiraia kupitia viongozi wao Dr Slaa, Mdude Nyagari Boniface Mwambukusi na Diaspora walitaka kufanya mikutano ya Hadharia Ili waweze Kutoa Elimu juu mikataba ya uuzwaji wa Bandari na walialika vyama vyote, dini zote pamoja na Watu wote,

Sasa wakakosa vigezo vya kupeleka taarifa polisi wakaamua kutumia chadema ili wapate taarifa Cha polisi Chadema temeke wakapeleka taarifa polisi wakatuma pesa mkutano ukaandaliwa wakaomba kwa vile walikuwa wamealika watu wa vyama tofauti na viongozi wa dini isiwekwe bendera ya chama ili mkutano usionekane ni wa kichama sasa hapo Kuna kosa gani

Yericko Nyerere amethibitisha Tundu Lissu anafaa kuwa Mwenyekiti wa chama Taifa kwa sababu anaweza kuunganisha makundi yote ya kijamii, mujibu wa Wanasayansi wa kisiasa (Political scientists) wanasema kuwa Ili chama kishike Dora kinatakiwa kiwe Imara kwenye Internal Party Institutionalizaton na External Political institutionalizaton.

Kwenye External Political institutionalizaton ndio unakuta chama ambacho niweza kushika Dola kinatakiwa kiwe na Mahusiano na watu wa vyama vingine, Asasi za kiraia na Diaspora, Ngoja niende kwenye sababu zake kwanini Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa chama Taifa kama alivyozieleza kwenye chapio lake

1)- alipokuwa Mkurugenzi wa Sheria hakuudhuria hata Kikao kimoja mpaka kusababu kutolewa kwa hoja hii Yericko ameshindwa kutambua kuwa majukumu ya Mkurugenzi wa Sheria ni Kutoa msaada wa kisheria ambapo Tundu Lissu ameifanya vizuri mfano kumtetea Dr Slaa asivuliwe ubunge mwaka 2005 kumtetea lema asivuliwe Ubunge mwaka 2010.

Kusaidia katika utungaji wa Sheria ya chama mwaka 2006, kupitia Kazi yake kubwa hiyo wakaamua kumpandisha cheo kutoka kuwa Mkurugenzi wa Sheria ambae alikuwa Mjumbe wa kamati kuu asie na kura ndani ya kikao n kuwa Mwanasheria mkuu wa Chama na akawa Mjumbe wa kamati kuu mwenye kura ndani ya kikao na kutokuwa kwenye katiba hiyo sio hoja maana Kwenye nchi yetu Kuna Naibu katibu mkuu ila hayumo kwenye katiba ya nchi.

2)- yericko Nyerere anaendelea kueleza baada ya kushindwa uwanasheria mkuu wa Chama akawa Mwenyekiti wa Kanda ya kati, ila ameshindwa kugundua baada ya chama kuleta Kanda Tundu Lissu akapewa Kanda ya kati na huku akiwa Mwanasheria mkuu wa Chama na zitto kabwe akapewa Kanda ya magaribi na akiwa naibu katibu mkuu wa Chama taifa.

Baada ya Lisu kuwa Mwenyekiti wa Kanda ambayo kanda yote ikiwa na Mbunge mmoja akapiga Kazi mwaka 2015 ikapata wabunge 4 majimbo yao ni Singida magaribi, Mulimba, Kilombero na mikumi na akaomba kujiudhuru abaki na nafasi Moja ya Mwanasheria mkuu wa Chama ndipo akawa mnadhimu mkuu wa upinzani Bungeni.

Kwenye Kazi ya unadhimu mkuu akaipiga Barbara Bungeni Escrow, mikataba mibovu na Sheria mbovu zilizoletwa Bungeni zilimkoma ndipo watesi wake wakaamua kumshindilia Bunduki.

3)- akaonekana ni mtu muhimu kwenye chama akagombea umakamu Mwenyekiti wa chama Taifa na Mama Sophia Mwakagenda akamushinda kuwa nje nchi sio shida wajumbe waliomuona anafaa dhidi ya mama Mwakagenda hakubebwa na mtu wajumbe waliona anafaa ndipo aligombea Urais Mwenyekiti Mbowe akawatuma wakina Gango kidera wamchukulie fomu eti waje wamshawishi akapima upepo akachomoa fomu akawapiga wakina Lazaro Nyarandu na Mwenzake.

4)- Yericko ameleza kuhusu uongo wa Tundu Lissu juu ya mambo kadhaa (A) eti lisu alitangaza chama chetu hakikupa chochote kwenye maridhiano, anasema maridhiano sio ya Mwenyekiti ni ya kamati kuu sio kweli Maridhiano yalianza tu pale Mwenyekiti alipotoka tu Gerezani siku hiyo hiyo alienda ikulu akaja na neno maridhiano na kauli za kuramba sukari tukaanza kuzisikia.

Yericko ameinisha mambo yaliyopita katika maridhiano, Yericko ameamua kupotosha wazi wazi, kuachiwa shughuli za kisiasa, kuachiwa wafungwa wa kisiasa na kesi zao kufutwa na wanasiasa walikuwa uhamisho kurejea nchini n.k hayakuwa ndani ya maridhiano Bali yalikuwa ni mambo ambayo yalitakiwa kufanywa ili maridhiano yawepo kama Yericko anakumbuka vizuri hata Samia alipoenda Ubelgiji aliambiwa mambo hayo hayo na Tundu Lissu maridhiano yalikuwa ni ya kuondoa matatizo yasijirudie kama maridhiano yangekubalika hata mikutano wetu na maadamano yazingeendelea kuziwa mpaka sasa.

Mambo yaliyokataliwa ndio yalikuwa maridhiano yenyewe ili maridhiano ni lazima uwe tume wa upatanishi na maridhiano (Truth and Reconciliation commission) katiba mpya, tume huru ya uchaguzi wa maovu yaliyotokea, kubadilisha Sheria kasome Maridhiano ya Afrika kusini ya mwaka 1996 hapa Lisu alisema ukweli yote alikataliwa.

5) Yericko anasema amekuwa muongo akituhumu viongozi wenzake majukwaani, na anaongezea kuwa Yenye ndio kiongozi wa kamati ya maadili nimuambie tu kama angekuwa Muongo angechukuliwa hatua za kinidhamu kwa sababu alishawahi kushitakiwa kwa makosa 25 na hayo wakiwemo na akapewa nafasi ya kujitetea na kamera juu ila mpaka leo hawajachukua hatua zozote.

Kwa sababu alitoa ushahidi wa kutosha na watu ambao waliopiga mpunga ni watu wazito sana kamati ya maadili isingweza kuwaFanya chochote, mpaka kufikia kusemea nje maana yake aliona humo ndani pameoza kabisa.

6)-sababu kuwa Tundu Lissu Hana uchumi na Mwenyekiti wa Taifa ni uchumi hii sababu hii ni sababu Haina mashiko kwa sababu hakuna mtu anaetumia pesa zake kujenga chama tusidanganyane Bali kuanzia Taifa mpaka kwenye matawi.

Taifa kinaruzuku na viongozi wetu wote Tundu Lissu na Freeman Mbowe huwa wanatumia hela za wadau kufanya ziara na Operation mfano mzuri Mimi kwenye operation katiba mpya Mimi niliwakusanyia million 1.5 kwa wadau Geita kwa ajiri ya kulipa ndege na wengine walikuwa wanakusanya kwingine.

Ukweli ni kwamba hata hela ambazo chama kilikuwa kinakopa kilikuwa kinalipa sasa unaposema suala ninakushangaa sana, maana vile vile Yericko amesema Diaspora wanamuunga mkono Tundu Lissu sasa anakosaje Tena hela.

Na vile vile hata ingekuwa ni kweli Miaka 30 chama hakiwezi kukiendesha kweli mwaka 2015 mpaka 2020 tulikuwa tunakusanya million 400 kwa mwezi kwa mwaka Billion 4.8 kwa Miaka 5 billion 24 tunakosa hata kitega uchumi kweli ndio maana tunamhitaji Tundu Lissu athibiti matumizi yao ovyo ndani ya chama ili pesa zishike Chini kwenye mikoa wilaya na majimbo, kama tulitaka agombee Urais na awe Rais wetu aongoze taasisi zote za Serikali anashindwaje kuwa Mwenyekiti wa chama Taifa kusimamia vikao na kuwakilisha chama sehemu mbali mbali.
 
Yericko Nyerere ni Chawa pro max.
 
Technical error. Angebaki na sababu za kikatiba sio kuwa anaenda kutatua au kumaliza madhaifu ya aliyepo. Sasa anachezo ngoma ya kijani.
Mkuu, ukitaka kummulika nyoka, anzia miguuni pako, au siyo?

TAL mwenyewe amesema kwa kukaa CDM miaka 20, amegundua kwa nini chama chao hakipigi hatua.

Sasa utakubalikaje kwa jirani wakati kwako ngoma nzito? Umeiona hiyo?
 
Fact
 
Sema hana uwezo wa kunyamaza. Sasa anathibitisha tuhuma zote dhidi ya chama chake. Na kifupi hata yeye akikaa pale hatoweza kutimiza yote. Ila fam kuendelea kukaa pale kutaleta katabia kabaya katakakoumiza taifa
 
Muulize mama yako kama mimi ni choko. Mimi ndiyo baba yako huyo unayemuita baba yako ni wa kufikia. mama yako alimdanganya huyo unayemuita baba yako.

Have a nice day!
AAH.,,SASA MBONA MAMA YAKE ALISEMA PIA MIMI NI BABA WA HUYO MTOTO??AU ANAKULA PESA ZA MATUNZO YA MTOTO HUKU NA HUKU??
 
Hii vita ni Kali sana
 
Muulize mama yako kama mimi ni choko. Mimi ndiyo baba yako huyo unayemuita baba yako ni wa kufikia. mama yako alimdanganya huyo unayemuita baba yako.

Have a nice day!
So hyo haiondoi ukweli kuwa unaliwa.
Proof kuwa unabandiliwa n kuwa chawa wa limakengeza
 
Mbowe kutaka kuendelea na uenyekiti wa CHADEMA wakati chama kimepoteza mvuto chini yake ni kujali maslahi binafsi badala ya maslahi ya chama.
 
Back
Top Bottom