Muyobhyo JF-Expert Member Oct 9, 2014 8,149 6,544 Mar 30, 2017 #1 MCHAGA HATA APATE KAZI BANK BADO ATASEMA YUPO KIBARUANI. SASA MHAYA APATE KAZI MACHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA. UTASIKIA "I WORK AS A CRUCIAL ENGINEER IN A MONOCOTYLEDON FINALIZING COMPANY"
MCHAGA HATA APATE KAZI BANK BADO ATASEMA YUPO KIBARUANI. SASA MHAYA APATE KAZI MACHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA. UTASIKIA "I WORK AS A CRUCIAL ENGINEER IN A MONOCOTYLEDON FINALIZING COMPANY"
La mujar JF-Expert Member Feb 19, 2017 1,586 1,790 Mar 30, 2017 #2 Ha ha ha aa.. Kwa mhaya anajivunia alichonacho.... Uku mchaga haridhiki na alichonacho anataka apate zaid ya icho.
Ha ha ha aa.. Kwa mhaya anajivunia alichonacho.... Uku mchaga haridhiki na alichonacho anataka apate zaid ya icho.