Mhariri wa Gazeti la Tanzania Daima, Martin Malera Ameitwa Polisi kutokana na taarifa zilizochapishwa kwenye gazeti hilo wakati wa Mo Dewji kutekwa

Akawape ushirikiano mapolisi asilete ujuaji kama mmiliki wa gazeti!
Haha Magufuli bado kwenda kula Krismas milembe kumbe ameagiza polisi wafungie gazeti kwa sababu tumbo lake halijashiba kwa kumuweka mbowe ndani haha kichaa wetu kapamba a mtoto
 
ni wajibu wa polisi kufanya kufanya uchunguzi au upelelezi kwa yeyote,....
.popote.
tutiii sheria bila shuruti
Hatujaona wakichunguza chochote kwa punguwani musiba polisi wa Tanzania ni robot hakuna uchunguzi wala nini watakelezakile jiwe anataka
 
hisia zako tu hizo
 
Musiba yupo kwaajili ya kazi maalumu....
 
Huyu mupe yure muruke
 
Ni afadhali siku hizi wanaitwa polisi, huko kuna usalama kidogo kuliko kuchukuliwa home, kazini ama njiani na watu wasiojulikana na kupelekwa kusikojulikana kwa kosa lisilojulikana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…