Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Yaani hapa ofisini kila mmoja anasubiri 2020. In kama msiba. Hakuna anayewaza lini atamaliza makato ya mkopo, wote wanawaza October 2020Private Investigator, We muombee tu bila kujali makato yako. Kwani hukumbuki alisema mtaishi kma mashetani...?? Sali bila kukoma...!!!
Nenda kotini, hawa TLS, Tamwa etc, bure kabisa. Haya ndiyo mambo ya kuyashupalia. TUCTA hopeless also as everKinachoniuma sio makato ya HESLB au lah!! Kinachoniuma ni kuongezewa makato kwa mshahara ule ule alioniachia "Mzee Bure". Tangu uingie hujanifanyia lolote mie mtumishi. Nawezaje kukuombea?
Mbona uliposikia la Tanesco uliingilia? Please usinijibu eti hili huusiki, litakuwa jibu baya sana.
Yaani 15% wakati nilishabakiwa na 1/3? Wewe hunilishi na bado unataka kunikamua? Au hujawapa ruzuku na makosanyo hayatoshi huko bodi?
Hii si sawa wakati hunijali. Mbaya zaidi unajua wanufaika wengi ni sisi walimu. Wewe ni mwalimu, Ila umejisahau sanaaaa.
Unajua tunaziitaje ahadi zako kwetu watumishi? Ahadi za Abunuasi.
Na ikifika hio 2020 KURA YAKO usithibutu tena kumpa huyo Pombe Makomeo .Yaani hapa ofisini kila mmoja anasubiri 2020. In kama msiba. Hakuna anayewaza lini atamaliza makato ya mkopo, wote wanawaza October 2020
Hebu lipeni mikopo wengine wakopeshwe. Mlikopa rudiaheni. Kusubiri 2020 ni sawa na fisi kusubiri mkono wa binadamu ukatike. Mmepata shahada. Zitumieni ipasavyo kufanya kazi kwa bidii ili kulipa mikopo yenu.Yaani hapa ofisini kila mmoja anasubiri 2020. In kama msiba. Hakuna anayewaza lini atamaliza makato ya mkopo, wote wanawaza October 2020
Mwafaaa. Kote ukoYaani hapa ofisini kila mmoja anasubiri 2020. In kama msiba. Hakuna anayewaza lini atamaliza makato ya mkopo, wote wanawaza October 2020
Kinachoniuma sio makato ya HESLB au lah!! Kinachoniuma ni kuongezewa makato kwa mshahara ule ule alioniachia "Mzee Bure". Tangu uingie hujanifanyia lolote mie mtumishi. Nawezaje kukuombea?
Mbona uliposikia la TANESCO uliingilia? Please usinijibu eti hili huusiki, litakuwa jibu baya sana. Yaani 15% wakati nilishabakiwa na 1/3? Wewe hunilishi na bado unataka kunikamua? Au hujawapa ruzuku na makusanyo hayatoshi huko bodi?
Hii si sawa wakati hunijali. Mbaya zaidi unajua wanufaika wengi ni sisi walimu. Wewe ni mwalimu, Ila umejisahau sanaaaa. Unajua tunaziitaje ahadi zako kwetu watumishi? Ahadi za Abunuasi.
Kamanda, umesahau kama makamanda wenzetu kwenye uchaguzi mkuu 2015 walisema tusipoitoa CCM madarakani tusubili tena hadi baada ya miaka 50? Sasa wewe CCM out 2020 umeipata wapi?Mkubali tuu kuwa mliingia choo cha kike na 2020 OUT basi. Nadhani hata hao washabiki wa ccm nao wameona kuwa kumpa kura mtu kwa ushabiki wa kisiasa kisha mateso na familia yako miaka 5 ni zaidi ya ujuha!
Akiwa madarakani mtu anaye vaa kijani kama wewe lakini hana mbinu za kukukwamua zaidi ya kukukamua inakusaidia nini kama sio yeye huyo huyo kukuona fala!