Hakika Mawaziri wetu wanakuwa kama wageni wa Tanzania.Alichokizungumza Waziri Lukuvi juzi wakati wa Bajeti ya Wizara yake kimenishangaza sana kwani asilimia kubwa ya Tanzania haijapimwa ukianzia Na Dar es salaam yalipo makao makuu ya Wizara yake karibu robo tatu ya eneo halijapimwa Watalaamu wa wizara wapo , watalaamu wa halmashauri zote wapo Chuo Kikuu cha Ardhi na Makampuni binafsi ya Upimaji yapo lakini imeshindikana.
Waziri anaujua uwezo wa Halmashauri zetu. Waziri anajua uwezo wa watanzania kulipia gharama za upimaji kuwa in Mdogo je wananchi wasubiri Serikali ipime ndio wajenge? Je Serikali INA uwezo gani wa Kupima nchi nzima?Tamko la Lukuvi Galina tofauti Na la Mwakyembe Juu kufunga ndoa bila Vyeti vya kuzaliwa.