Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,227
- 240,557
Maduka yote Mjini Kyela leo 25/06/2024 yamefungwa, ikiwa ni muendelezo wa Mgomo wa wafanyabiasha nchi nzima kupinga dhuluma za serikali kupitia TRA, kuwakamua Wafanyabiashara hadi watoke damu.
Wengi waliofuata mahitaji ya watoto wao hasa kipindi hiki kuelekea kufunguliwa kwa Shule, Wamepigwa na butwaa baada ya kukutana na Makufuli milangoni, haifahamiki hali hii itakuwa hadi lini.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wafanyabiashara wenzangu wa Kyela kwa maamuzi ya kishujaa