Nenda regency hotel wana chefs wazuriWakuu,niko singida hapa nimekula jana msosi sehemu inaitwa kwa Maclaree lkn sijavutiwa napo.
So naomba mnijuze sehemu inayopika msosi mzuri hapa singidan
Nenda LezauraWakuu, niko Singida hapa nimekula jana msosi sehemu inaitwa kwa Maclaree lkn sijavutiwa napo.
So naomba mnijuze sehemu inayopika msosi mzuri hapa Singida.
Ubungo ipo na Singida?Nenda ubungo ule kuku wazuri wa kienyeji
Ubungo Hadi usikuNenda ubungo ule kuku wazuri wa kienyeji
Ulizia boda watakupelekaLocation?