chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,649
- 17,979
Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL.
Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji.
Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma.
Ili linawakumba sana inapotekea kuna uchimbaji wa barabara au majanga ya mvua na uharibifu unaotokana shuguli za binadamu.
Usambazaji wa fiber ni wa ovyo sana yani umeshindwa kuwa mpangilio mzuri wa kupeleka huduma zinapofika.
Kwa nini wasishirikiane kufumua fiber ziwe zinatumia njia ya mistimu ya umeme na grade kubwa za umeme kuliko kutumia kuzika chini kesho watu wamaji wakija wanajua ni kijibomba chao.