DOKEZO Mfumo wa kutoa fedha kwenye vikundi vya watu wenye mahitaji maalum ni rushwa tupu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kuna wakati tuliungana kuomba mkopo unaotolewa na serikali kwa kweli tulifanikiwa katika hatua zote mpaka usajili wa kikundi tulipata tukafungua na account bank ya kikundi na mradi wetu na wazo letu lilikuwa la mfano kwa namna tulivyoliandaa ila sasa ilipofikia kwenye kupewa hela changamoto zikaanza.

Zikaanza chenga kila siku, mwisho hatukupata na badae ikatokea taarifa kuwa Jina la kikundi chetu kuna watu wanalitumia na mkopo walipewa.

Hii ilitokea Geita wilaya ya Geita vijijini. Hujuma ni nyingi, kama hakuna connection ni ngumu kupata mkopo na wanaopata ni wale ambao sio walengwa kabisa
 
Nendeni kwa msajili wa vikundi, je ni CBO
 
Back
Top Bottom