Mfumo wa kisasa wa POS

sele255

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
205
262
Habari nimekuletea mfumo wa maauzo "POS" ulio bora na
unaotatua changamoto za moja kwa moja kwa waendeshaji na
watoa huduma wa bidhaa kwa uhalisia kama zifuatvyo;

(i)Umeme ukikatika ghafla hauna haja ya kuandika order yako upya,
bali ukiwasha na kubofya "restore pages" utapata oda yako jinsi
ilivyo.

(ii)Ukiondoka kwenye ukurasa wako wa kuandika oda bila kuhifadhi
oda yako ukirudi sehemu ya "sale" utakuta oda yako jinsi ilivyo

(iii)Mfumo unakuruhusu kuhifadhi taarifa za wateja wako, mteja anaweza
kukopa na kuapata taarifa zake kirahisi na vilevileunaweza kuidhibiti
kiwango anachoweza kukopa

(iv)Mfumo unaruhusu kutengeneza account za wafanyakazi wako kwa kuchagua
"Roles" zilipo na majukumu yao

(v)Mfumo unakuwezesha kupanga na kuona commission kwa kila mfanyakazi
kutokana na mauzo aliyoyafanya

(vi)Mfumo unaruhusu kuhifadhi, kutunza, kutoa na ku-scan "Bar codes" katika
risiti zote unazozalisha

(vii)Mfumo unaruhusu kuhifadhi data za bidhaa yako kuanzia "Batch Number" mpaka
tarehe ya kuharibika kwa bidhaa (Expiry date)

(viii)Mfumo unaruhu kuandaa oda ya manunuzi (Purchase order) moja kwa moja
katika mfumo

(ix)Endapo mtu amerudisha bidhaa una uwezo wa kuirejesha katika stock yako
moja kwa moja katika account ya mteja bila kuvuruga stock iliyopo

(x)Endapo mtu anataka makadirio ya oda yake unaweza kuiandika bila ya kuitoa katika
stock moja kwa moja kupitia sehemu ya "Suspended sales", hii inatatua changamoto
ya kupata taarifa kuwa stock imepungua wakati mteja hajalipia

(xi) Oda Ukiifuta kimakosa unaweza kuipata kupitia sehemu ya "Deleted sales"

(xii)Faida/Commission unaweza kuiona kwa siku/mwezi/wiki/oda/mfanyakazi

(xiii)Mfumo unakuruhusu kupata makadirio ya bei ya ununuzi (Cost price averaging) baadha ya kuingiza
bidhaa nyingine kwa bei tofauti

(xiv)Mfumo unaruhusu kuandika matumizi ya siku ambayo yatapigiwa hesabu

(xv)Mfumo unaruhusu kuandaa "Batch sale" kwa mteja anenunua bidhaa nyingi kwa kujirudia

(xvi)Risiti zote zinazotolewa zinahifadhiwa na pia zinakuja na namba yake maaluma kwa
ajili ya kumbukumbu

(xvii)Mfumo unaruhusu kutoa punguzo kwa asiliamia au kwa kiwango maalum

(xviii)Mfumo utaruhusu kuuza kwa bei ulizopanga na sio chini ya hapo

(xix)Mfumo unakuruhusu kuhifadhi taarifa za wasambazaji wa bidhaa zako

(xx) Mfumo unaruhu kuuza "Bundled products" moja kwa moja

(xxi)Mfumo unaruhusu mteja kuona oda yake (Customer Display) na kuweka sahihi yake

(xxii)Mfumo unaruhusu kutoa "Gift receipt/cards" ambayo utatoa bidhaa hiyo bure kama zawadi
au kwa punguzo la bei

(xxiii)Mfumo unaruhusu kuaandaa "Price rules" ambazo utatumia kufanya mapunguzo ya bei
kwa muda maalum katika duka lako.

(xxiv)Mfumo una sehemu ya kufanya "Backup" ya data zako zote

(xxv)Mfumo unaruhusu kuandaa, kufuatilia na kusambaza bidhaa kwa wateja (Delivery)

(xxvi) Mfumo unaruhusu kutuma/kupokea meseji kwa wafanyakazi

(xxvii)Mfumo unaruhusu ku-import na ku-export taarifa za bidhaa/wateja katika excel au csv

(xxix)Mfumo unaweza kuuweka online au offline kutokana na mahitaji yako.

(xxx)Risiti unaweza kuzitoa kwa printer za kawaida hadi thermal printers zote


Kuona jinsi mfumo unavyofanya kazi (Demo) nipe taarifa kupitia namba +255692286090
Gharama ya Ofa ya mfumo ni Tsh.700,000/= , gharama za installation ni juu yako.

Endesha biashara yako kwa ufanisi sasa.
 
Salaam,
Mfumo wako mbona kama ni ghali sana?
Nimeshakutana na matangazo kadhaa hapo nyuma na bei zao zina-range 500k with installation, ya kwako ni 700k without installation.

Au ni moja kwa moja hakuna yearly subscription?
 
Salaam,
Mfumo wako mbona kama ni ghali sana?
Nimeshakutana na matangazo kadhaa hapo nyuma na bei zao zina-range 500k with installation, ya kwako ni 700k without installation.

Au ni moja kwa moja hakuna yearly subscription?
Hakuna Yearly Subscription, ukinunua unakuwa wako kabisa, ni mfumo unaokidhi mahitaji ya POS yeyote kwa kiwango Cha juu.
 
Jinsi ya mfumo huo unavyofanya kazi
 
Back
Top Bottom