D_ullah
Member
- Jul 21, 2022
- 43
- 62
HUU NI MJADALA NILIO UKUTA BAINA NA WAKATA TIKETI NA MAENEO FULANI HAPA NCHINI.
Mfumo/Mtindo wa Uongozi barani Afrika miaka na miaka ulikua ni mfumo wa kikifalme na kichifu ambao ulikua umejikita kati utawala wa jinsi ya kiume na kurothishana ulikua unapokea ushauri kutoka kwa wazee wa familia na koo.
Ambao bado haukumtupa mwanamke kama inavyosema kwani masuala yalihusu wanawake yalikua yakiendeshwa na wanawake hata ushauri bado wazazi walikua wakipokea ushauri kutoka kwa wake zao.. lakini pia kupitia wanawake vijana walifundishwa unyenyekevu na uadilifu.
Huu mfumo ulisaidia sana kupunguza mabarakala (kwa sasa mnawaita chawa), lakini pia kadri muda ulivyokuwa unaenda wanwake wenye ushawishi waliendelea kupewa nafasi mfano Bibi Titi, Lucy kipindi cha Nyerere. Walipata nafasi sehemu mbalimbali.
Kilichotakiwa ilikua ni kuendelea kuelimisha wananchi na viongozi kushirikisha wanawake, na kuwapa elimu ili kusaidia jamii kuelekea mabadiliko ya kisayansi na kiteknolojia.
Lakini sasa Demokrasia na kampeni za kumuinua mwanamke zimeharibu mfumo mzima wa mtinfo wa maisha ya kiafrika kiasi cha kuathiri kabisa utamaduni na mtindo wa maisha kubwa kabisa malezi na kumsahau mtoto wa kiume ambaye kwa kasi ya ajabu amekua muhanga hadi sasa wanalilia na wao kuliwa.
Demokrasia imesababisha uovu mkubwa katika upngozi watu wamehozi faida za jamii kwenye familia zao, wamekuwa watumwa kwa watu wenye nguvu bila kujali watu wao.
Mfumo wa uchifu na ufalme ulibeba mfumo dume ulikua na ubabe wa kuwajibisha wauvu na wasaliti kwa miaingi na matakwa ya nchi za kiafrika, uwajibikaji bila kutegemea misaada, bila kupangiwa na watu.
Walimaliza kwa kusema wanawake wanapoelekea watatuambia tuoshe vyombo kwa kulazimishwa na sio kwa upendo wa kusaidia kama wapenzi.