M Mina_n Member May 6, 2017 12 12 May 17, 2017 #1 Natfuta mdada/mama wa kulea mtoto mchanga... Awe anajielewa, na umri kuanzia miaka 20+ Ambae hana mtoto anae mlea Mtu mzima atapewa kipaumbele Maeneo ya kazi ni Mbezi beach, kwa zena. Mawasiliano 0767521736. Mshahara ninmaelewano (Mnono)
Natfuta mdada/mama wa kulea mtoto mchanga... Awe anajielewa, na umri kuanzia miaka 20+ Ambae hana mtoto anae mlea Mtu mzima atapewa kipaumbele Maeneo ya kazi ni Mbezi beach, kwa zena. Mawasiliano 0767521736. Mshahara ninmaelewano (Mnono)
Karucee JF-Expert Member Mar 11, 2012 18,155 34,294 May 17, 2017 #2 You are very wrong. Usitafute mtu wa kukulelea mtoto mtandaoni. Anza na ndugu... japokuwa they are not perfect but its safer. Ukikosa ndugu tafuta mtu ambae CV ya ke ya kulea watoto inaeleweka na anaweza kuwa traced. Pia state of mind iwe stable. Na utakapompata just be good to her. We aren't perfect but be humane.
You are very wrong. Usitafute mtu wa kukulelea mtoto mtandaoni. Anza na ndugu... japokuwa they are not perfect but its safer. Ukikosa ndugu tafuta mtu ambae CV ya ke ya kulea watoto inaeleweka na anaweza kuwa traced. Pia state of mind iwe stable. Na utakapompata just be good to her. We aren't perfect but be humane.
BIGstallion JF-Expert Member Sep 13, 2016 6,324 7,910 May 17, 2017 #4 Karucee said: You are very wrong. Usitafute mtu wa kukulelea mtoto mtandaoni. Anza na ndugu... japokuwa they are not perfect but its safer. Ukikosa ndugu tafuta mtu ambae CV ya ke ya kulea watoto inaeleweka na anaweza kuwa traced. Pia state of mind iwe stable. Na utakapompata just be good to her. We aren't perfect but be humane. Click to expand... Wanawake wengi wanakosea sana apo kweny ",just be good to her" watoto wao wanakuaga mavictim wa matukio ya wadada wa kazi, .
Karucee said: You are very wrong. Usitafute mtu wa kukulelea mtoto mtandaoni. Anza na ndugu... japokuwa they are not perfect but its safer. Ukikosa ndugu tafuta mtu ambae CV ya ke ya kulea watoto inaeleweka na anaweza kuwa traced. Pia state of mind iwe stable. Na utakapompata just be good to her. We aren't perfect but be humane. Click to expand... Wanawake wengi wanakosea sana apo kweny ",just be good to her" watoto wao wanakuaga mavictim wa matukio ya wadada wa kazi, .
20PROFF JF-Expert Member Nov 5, 2013 8,159 7,156 May 17, 2017 #5 Karucee said: You are very wrong. Usitafute mtu wa kukulelea mtoto mtandaoni. Anza na ndugu... japokuwa they are not perfect but its safer. Ukikosa ndugu tafuta mtu ambae CV ya ke ya kulea watoto inaeleweka na anaweza kuwa traced. Pia state of mind iwe stable. Na utakapompata just be good to her. We aren't perfect but be humane. Click to expand... Akizingatia maneno haya, mwanaye atakuwa safe sana . Otherwise atakuwa ana tale risk kubwa tu.
Karucee said: You are very wrong. Usitafute mtu wa kukulelea mtoto mtandaoni. Anza na ndugu... japokuwa they are not perfect but its safer. Ukikosa ndugu tafuta mtu ambae CV ya ke ya kulea watoto inaeleweka na anaweza kuwa traced. Pia state of mind iwe stable. Na utakapompata just be good to her. We aren't perfect but be humane. Click to expand... Akizingatia maneno haya, mwanaye atakuwa safe sana . Otherwise atakuwa ana tale risk kubwa tu.
T Tamu chungu Member Dec 20, 2015 85 64 May 17, 2017 #6 Ukifanikiwa kumpata tunaomba usimnyanyase mana kati ya wafanyakazi wanaoongoza kwa kunyanyaswa ni wafanyakazi wa ndani.
Ukifanikiwa kumpata tunaomba usimnyanyase mana kati ya wafanyakazi wanaoongoza kwa kunyanyaswa ni wafanyakazi wa ndani.