Mfano wa Picha ya mto msimbazi kabla ya kuvamiwa na wananchi walioanzisha makazi yao maeneo mbalimbali unapopita mto huo
View attachment 314825 Huu ni muonekano kwa sasa eneo la mto lilivyo mara baada ya uvamizi wa wananchi na kuanzisha makazi yao kinyume na sheria
Kesho Tarehe 5.1.2015 zoezi la ubomoaji litaendelea lakini hivi watendaji wetu wenye mamlaka ya kusimamia sheria ya mazingira walikuwa wapi mpaka kufikia uharibifu wa namna hii????.. Rai yangu msumeno ule ule unawaondoa ndugu zetu maeneo haya uhifadhiwe ili utumike kuwashughulikia watumishi wooote waliohisika na ustaw wa maeneo haya kinyume na sheria