ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 737
- 2,473
King Abdullah mfalme wa Jordan alikuwa White House
Amefanya mazungumzo wa raisi Biden kuhusu special operation ya kivita Kati ya Israel na HAMAS
Amemuomba raisi Biden kwamba Israel isitishe operation ya kivita mjini Rafah. Anadai raia wengi watakufa
Amemushauri Rais Biden kwamba mchakato wa two state solution uanze. Wapalestina wapate Uhuru wao.
Halafu East Jerusalem iwe sehemu ya Wa Palestina.
Nimejiuliza sana. Hawa viongozi wako serious kweli. Hivi Jerusalem inaweza kuwa nje ya Israel
Hawa viongozi wanapaswa kuelewa kwamba mji wa Jerusalem ni wa kimkakati sana, sana kwa taifa la Israel. Ukiigusa Jerusalem, umegusa moyo wa Israel.
Jerusalem haitowezekana kuwa sehemu ya Israel, kamwe, kamwe.
Waache kuwadanganya Wa Palestina. Waache Unafiki. Kama kweli wanataka Amani, waache kabisa kudai Jerusalem.
Jerusalem ni moyo wa taifa la Israel.
Viongozi wa dunia waache Unafiki. Wanajuwa kabisa Hilo jambo haliwezekani alafu wanawadanganya Wa Palestina.
Jerusalem, Jerusalem, Jerusalem!!!