TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 7,793
- 15,286
Huyu ndiye marehemu Juma Jangalu, aliyekuwa mfanyabiashara wa korosho kwa kutembeza mtaani, na pia alimiliki duka hilo hapo pichani.
Huyu ndiye aliyeuawa na wakusanya madeni wa kampuni ya mikopo ya OYA huko Mlandizi.
Juma hakuwa amewakopa OYA bali ni mkewe ndiye aliyekopa OYA tena bila kumshirikisha mumewe. Baada ya mambo kuwa magumu, mke alikimbia nyumbani kuwakwepa OYAOYA walipofika wakamvaa mumewe kama madalali wa mahakama wa Yono Auction Mart.
Soma Pia: