Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,654
Hemry Ozoemena Ugwuanyi(Marehemu) huyu bwana alikua anaishi hapa nchini toka 2017 alikua anaendesha kanisa lake ila nyuma ya Pazia alikua muuzaji mkubwa wa Madawa ya kulevya alikua anaishi mtaa wa Pemba Kariakoo.
Kukamatwa kwake
Linda Mazule Raia wa Latvia alikamatwa Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa JK Nyerere na Kilo tano za Heroine alizokua anazipeleka Poland baada ya kuhojiwa na timu nzima ya kuzuia na kupambana na Madawa ya Kulevya ndipo akamtaja Rafiki yake wa kiume raia mwenzake wa Latvia bwana Janis Plavin (20) ndiye aliyempa mzigo wakaondoka nae kumtafuta Janis Plavin wakafanikiwa kumpata katika Hoteli moja waliyopanga Kariakoo.
Janis Plavin anawapeleka Timu nzima ya Kupamba na Kuzuia Madawa ya Kulevya hadi Kariakoo Nyumba namba Tisa Ghorofa ya Nne na kufanikiwa kuwakuta Onyebuchi Ernest Ogbu(34) akiwa na Hemry Ozoemena Ugwuanyi ambaye anajitambulisha ni mchungaji baada ya kufanya msako wanakuta Ndoo zilizowekwa Mchele na kuchanganywa Pakiti za Kilogramu moja kumi na tano hivyo kua Kilo kumi na tano(15) za Heroine baada ya upekuzi na kuchukuliwa maelezo Mchungaji huyo anakiri ni muuzaji na msambazaji wa madawa ya kulevya.
Sababu za kupelekwa Segerea na si Keko kutokana na Hayati Raisi Magufuli alisisitiza Watuhumiwa hawa wapelekwe Segerea kutokana na uzito wa kesi yao ulivyo rejea ishu ya Dickson Maimu aliyekua Boss NIDA nae yupo Segerea.
Ndugu Hemnry Ozoemena Ugwuanyi alipata shambulio la moyo kupelekea kufariki mwaka huu 2022 baada ya kuanguka akiwa gerezani na kukimbizwa Hospital Marehemu amesafirishwa kuzikwa kwao Nigeria wiki mbili zilizopita.