METL wajibu Notisi ya Malipo ya Kodi, wamesema hawadaiwi kitu

Washtaki ili wakome kukurupuka hao sifa ndiyo ada yao,wamezoea kumnyanyasa Mbowe bora wamekutana na mwenzao anayejua kupiga madeal kama wao.Hongera sana METL.
 
Sasa huyo jamaa alienda na waandishi ili iweje? Ona sasa aibu yake mwenyewe waandishi hao hao watamchora kuanzia kesho.
 
Njaa...kudai mpaka kwa tv? Washtaki tu ....wamezidi kuendesha nchi kama barbarians
 
Ha!ha! Serikali inatakiwa ikanushe kupitia Gazeti kwa Siku 7 Mfululizo noma sana Mwanasheria wa Mohammed
 
Sasa ilikuwaje wanaenda kupeleka notisi ya mahakama huku wakiwa wameambatana na kundi la waandishi wa habari?! Au ndivyo taratibu za udalali zinavyosema?!
 
Watu hawa wanaofanyakazi kwa kutaka sifa dawa yao ni kuwashitaki walipe fidia sio kutaka kuchafua watu tu
 
Nakumbuka walivyoenda kumfungulia advocate Mkono ofisi zake siku ya Jumapili, TRA/Yono bhana full kutetemeka!!
 
Kuna uwezekano wamelipa lakini kuna watu wakaweka pesa mfukoni na kutoa stakabadhi fake.

Tanzania kila kitu kinawezekana!
Kumbe serikali haikupaswa kutuma "mkusanya madeni" kabla ya kuwasiliana na METL juu ya hilo "deni"! Tatizo lililo wazi sasa ni serikali kuchagua kufanya kazi kwa vitisho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…