uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,598
Mchezaji bora kuwahi kutokea toka dunia iumbwe La pulga amejiunga na Klub cha inter miami nchini Amerika inayomilikiwa na mwingereza David beckham
Messi alitarajiwa kurudi Barcelona lakini imekuwa tofauti ameenda marikani nani asiyependa USA
Ikumbukwe klub moja uko uarabuni ilitengea messi bilion 4 kwa miaka miwili lakini nyota uyo amewaambia kwangu pesa sio kitu cha muhimu bali naangalia sehemu bora nje ya kuishi nje ya ulaya napenda USA na sio uko uswekeni uarabuni alisema Messi kwenye mkutano wake mtandaoni ikumbukwe messi anamiliki mijumba ya kupangisha uku miami jiji la maraha USA
Ikumbukwe waarabu wanamwaga pesa kila mchezaji wanaopishana nao njiani ili wachezaji wenye akili wanaojitambua hawataki kwenda kule kutokana na mazingira mabaya na utamaduni mbaya
Vilabu kadhaa vya ulaya km chelsea, bayern munich manchester city nk kimya kimya zilihitaji huduma yake lkn hakutoa kipaumbele kwasababu aliamua eidha barcelona au inter miami
Hongera messi kwa kufanya chaguo sahihi uko arabuni waachie kina benzema wasio kuwa na mwelekeo