Merry Christmas wakongwe wa JF

Alez von lumor

JF-Expert Member
Nov 4, 2023
516
1,474
Meery Christmas wakuu

Natumaini mu wazima siku ya leo pia pole kwa wale wanaoumwa, walemavu na kikubwa pole kwa makapuku kama mimi ambao sikukuu ya leo tutakula ugali, dagaa mchele na soda baridi

Sina mengi ya kusema ila nimeona nije niwatakie heri ya sikukuu ya christmass kwa wakongwe wa jf wazee wetu

Sina muda sana jf lakini ngoja niwape heshima zao kina Grahams JBourne59 ambaye kwa sasa yupo akifaidi penzi la bibi yetu hamida baada ya kutuacha solemba na simulizi pendwa "msegemnege" pia na kwa wazee wote nisiowafaham nawatakia heri ya sikukuu ya christmass na Mungu awavushe salama tukutane 2024

More repsect to you mazee
 
Asante kwa salamu za Christmas Mkuu.

Kwa niaba ya Bibi yenu na Mimi mwenyewe, tunapenda kuwakaribisha wewe pamoja na jamaa zako nyumbani kwaajili ya kufurahia pamoja sikukuu hii.

Kama kawaida ya sisi Wazee pamoja na uwepo wa chakula lakini Togwa na Mbege pia vipo. Bila kusahau Tumbaku kwaajili ya Kuvuta Kiko πŸ€—

Merry Christmas to you all πŸŽ… πŸŽ„
 
Ndio hivyo mkuu tusivishushe vyakula vinavyotupa nguvu ya kufanya kazi kila siku na kwa unafuu.
Kabisa mi nashangaa dune Zima linawaza pilau na nyama eti kisa sikukuu mi hayo mambo nimewaachia watoto wangu
Lunch ya nguvu ninayowaza Leo ni ugali mnafu na maziwa mtindi

Ndio viko akilini
 
Asante mkuu ugali dagaa unanitosha
 
Hapana mkuu mi siwazi pilauπŸ˜‚πŸ˜‚
Kabisa mi nashangaa dune Zima linawaza pilau na nyama eti kisa sikukuu mi hayo mambo nimewaachia watoto wangu
Lunch ya nguvu ninayowaza Leo ni ugali mnafu na maziwa mtindi

Ndio viko akilini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…